Endelea kuumwa
Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. Nilishikwa na Malaria kali iliyonilazimisha kulazwa kwa masaa 48 na kutundikiwa dripu 3 za kwinini. Namshukuru Mungu nimeruhusiwa baada ya kupata nafuu.
hawakukupeleka india?
Acha uongo, jana ulikuwapo na uliweka post hii:Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. ...