Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Wakuu nipo Addis Ababa, hapa nimekuja kumtembelea shemeji/wifi yenu, walahi nawaambia sikutegemea wala sikufikiria kukuta maendeleo kama haya.
Jiji limejipanga hata flyovers za kueleweka, halafu kuna hizi treni sijui za umeme manake nashindwa hata niwaelezeje, wenzetu National Housing zao zipo za watu wa hali ya chini pia.
Jamani Addis Ababa ni shughuli nyingine.
Jiji safi sana, aise hivi Tanzania imekosa nini hadi kila kitu kishindikane?
Picha zinakuja soon.
annabrenda nimepata hiyo maneno lakin mi nimekuja kwa wifi yako,usiku wa leo ulikuwa wa aina yake kwakweli
Mkku Wachina wamefanya kazi kubwa kuwaendeleza Wahabeshi.
Kwa hiyo umemega kisela sio!!!? Duuu nakuonea wivu mwenzio huo ndo ulevi pekee ambao hata mungu anaelewa na huenda atanichukulia poa tu kwa vile sichukui wake za watu.
watoto weupe,minywele hadi mgongoni,halafu laini sana hawa watoto ya kitanda unakiona kidogo
mkuu hapa kuna tren za umeme,kila kitu katika system, watanzania wameshindwa nini kuwatumia wachina?
Nafikiri kuna haja ya kutamka rasmi bila kuathiri pande yoyote kwamba katika ukanda huu Tz, Kenya Uganda,Ethiopia Burundi Rwanda na Sudan Totoz nyingi karee zipo Ethiopia na Rwandawatoto weupe,minywele hadi mgongoni,halafu laini sana hawa watoto ya kitanda unakiona kidogo
Nafikiri kuna haja ya kutamka rasmi bila kuathiri pande yoyote kwamba katika ukanda huu Tz, Kenya Uganda,Ethiopia Burundi Rwanda na Sudan Totoz nyingi karee zipo Ethiopia na Rwanda
Mkuu nikwambie kitu - baadhi ya Viongozi wa Tanzania hawapendi Wachina kwa kuwa makampuni/wakadarasi ni mali ya Serikali ya China kwa hiyo si rahisi kutoa hongo, wako radhi kukwamisha au kuweka spana kwenye miradi inayo gharimiwa na Serikali ya China - chukulia mfano wa reli ya kati, Wachina walitaka kusaidia lakini wenzetu wapo kimya wanatafuta watu wengine tu wakati Kenya wanawatumia hao hao Wachina kujenga reli yao - in two year's time reli itakuwa imefika Nairobi.
Flyovers, Mabasi na electric trains unazo ziona hapo Addis asilimia 98.9% zitatoka China, wamewajengea vile vile kiwanda cha ngozi na viatu sisi ngozi zetu zinakuwa smuggled kwenda nchi jirani!!

vp ulikula mambo yetu
Mwezi Mtukufu huu mimi huwa sioni kabisa, nimefunga macho hata hii picha humu sijaiangalia!.Hii thread inaweza kumtoa udenda Pasco
ngoja dada zetu wakuskize uone watakavyopandisha mori annabrenda Preta
Sura za kizungu miguu ya kijaruo.
warembo wa addis je, hujawaona?
Mwezi Mtukufu huu mimi huwa sioni kabisa, nimefunga macho hata hii picha humu sijaiangalia!.
Ila kiukweli wanawake wa Kihabeshi ndio wanawake warembo kabisa kuliko wanawake wote wa bara la Afrika wakifuatiwa na Watutsi, ila....maibingwa ni Baganda women!.
Pasco
Mdau hii isikupe tabu hata wao wenyewe wanaujua ukweli, hakuna hata mmoja atakuja kupiga kelele juu ya hilo, labda kwa wale wanaojitoa ufahamu.
Hili la warembo ndo lilinikosha Addis,, nakumbuka nikitokea DAR kwenda Juba SSD, nikawa nimejilaza sakafuni pale maana siku hiyo nadhani walizidiwa wasafiri tulikua wengi,, na sehemu niliyokuwa nimejilaza pia kudowea charge ya simu... akaja dada mmoja mrembo wa haja na kuniuliza kama nilikua mgonjwa huyu dada anafanya kazi ya kuuza zawadi pale kama magauni na mashati ya utamaduni wao kwa wapita njia kama sisi,, kwa sababu nilikua na usingizi na kiasi flan kumiss wanangu nilio waacha home,, nikamjibu dry '' nina njaa'' akatoweka na kurudi na COCA, na CAKE , (nimefunga sisemi uongo),, na nakumbuka alinipatia pesa pia,, na kuniambia wao wamemaliza zamu yao maana walikua zamu ya usiku... akaondoka na dada yake na kunitakia safari njema.... nikajiuliza mbona warembo wetu matonya? ukiongea nae tu basi ujue mzinga wa vocha unafuata... addis habari nyingine