Leo nimetembelea Addis Ababa

Leo nimetembelea Addis Ababa

Ethiopian_cabin_crew_oct.jpg

c8f73362ccb98105b82c9ad6d403f168.jpg

.....hii mambo noma sana !!!

Aisee mbona wote wanafanana
mkuu??? nimewapenda ghafla!!
 
ama kwa hakika wewe unaifahamu casablanca,sasa pale kuna mabinti wakicheza uchi wa mnyama tena wakinyonyana mate na kuchezeana matiti na sisi macustomer tukifurahi,pale bia ni 300ksh.hapa adis kuna huyu shemej yako ndo kanileta nijitambulishe kwa wakwe,ila wadogo zake pia ni homa ya jiji

Kaka mambo yako Florida, ukichezewaaaa ukipata mzuka unakwenda kwenye vile vibanda kule beach kupata massage. Ndio maana mtu mmoja alienda Mombasa aliporudi mabasi yake akayaita MOMBASA RAHA
 
Kaka mambo yako Florida, ukichezewaaaa ukipata mzuka unakwenda kwenye vile vibanda kule beach kupata massage. Ndio maana mtu mmoja alienda Mombasa aliporudi mabasi yake akayaita MOMBASA RAHA

chief kiumbe huko bongo mnamskia? hehehehe kaamua kuhamia MSA yuakaa likoni,nina hakika hujagusa maeneo ya mtwapa,pirates,bamburi beach,masters,77,fort jesus,nyali,cinemax,likoni,playboy,na casino za mombasa ni shida
 
salute kwako mkuu falcon mombasa ama hakika mwenzetu unafaudu mautamu ya neema za allah!!!
piga ua lazima one day nitimbe huko.
Sasa tushaona kuwa reception ni mia kwa mia bado wezere mkuu usisahau kutupiapo tupicha twa mibinuko si unajua tena yakheee mambo yetu yaleeee!!
 
Last edited by a moderator:
Nimefanya nao kazi Bahrain 2010 yaani wana urembo wa asili na hata ktk vitabu vitakatifu wamo,mfalme suleimani alishindwa kuvumilia alichanganyikiwa!akawaoa kwa fujo!
 
shukrani mkuu hapa nikianza mambo ya picha shemeji yako ataona ,hapa naandika lakini haelewi vizur .anajua neno moja moja,mkuu hujanicheki fb halafu
 
Last edited by a moderator:
Nimefanya nao kazi Bahrain 2010 yaani wana urembo wa asili na hata ktk vitabu vitakatifu wamo,mfalme suleimani alishindwa kuvumilia alichanganyikiwa!akawaoa kwa fujo!

Ebu fikiria chacha huyo mfalme sule pamoja na hekima zake zoote lakini alipagawa sembuse mm niliyezaliwa baada ya maelfu ya miongo kupita???!
Hapa Mungu alionesha upendeleo dhahiri shahiri iweje awaumbie wahabeshi tu then sisi wanaume wa bongo akaishia kutupa "manegative"?? hii haikubariki hata kidogo!!!!
 
shukrani mkuu hapa nikianza mambo ya picha shemeji yako ataona ,hapa naandika lakini haelewi vizur .anajua neno moja moja,mkuu hujanicheki fb halafu

Oooh yes mkuu ila pamoja na yote sidhani kama ntapata lepe la usingizi leo bila kuona picha za hawa walimbwende.
FB ntakucheki mkuu sema sio uwanja wangu sana kule.
 
Ebu fikiria chacha huyo mfalme sule pamoja na hekima zake zoote lakini alipagawa sembuse mm niliyezaliwa baada ya maelfu ya miongo kupita???!
Hapa Mungu alionesha upendeleo dhahiri shahiri iweje awaumbie wahabeshi tu then sisi wanaume wa bongo akaishia kutupa "manegative"?? hii haikubariki hata kidogo!!!!

hata IFM na CBE si kuna mademu pale mkuu
 
Nazidi kutamani kuzuru Ethiopia one day. Mana nilikuwa naipenda kutokana na historia yake iliyotukuka ya kutokutawaliwa na wakoloni na pia kuwa chimbuko la rastafar. Sasa na hizi habari za kuwa na wanawake wazuri na warembo namna hii ndio napagawa zaidi.
 
Na vp watu wa huko pia ile mambo ya kuwasema wanawake warembo kuwa tayari wana ngoma. Km ilivyo kwa huku bongo.?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom