Sio mkorogo mkuu.. Wamevaa kitu wenyewe wanaita leggings
Umekwenda kutalii! mungu akuja alie sana
Hao ni waisrael mkuu. NI mabaki ya waebrania.
...ha ha ha Mkuu NDAGLA kwenye miguu ni yale masoksi yanapunguza makali kupofusha macho...huko wasukuma lazima tufirisike
Stokngz Jmn
Sio mkorogo mkuu.. Wamevaa kitu wenyewe wanaita leggings
....
.....Mkuu falcon mombasa haya makitu noma sana unaweza tokomea huko !!!
![]()
Note: hiyo nywele sio ya katani ni kitu living
Hao ni waisrael mkuu. NI mabaki ya waebrania.
wakuu nipo addis ababa hapa nimekuja kumtembelea shemeji/wifi yenu ,walahi nawaambia siku tegemea wala sikufikiria kukuta maendeleo kama haya,jiji limejipanga hala fly over za kueleweka ,halafu kuna hizi treni sijui za umeme manake nashindwa hata niwaelezeje,wenzetu national housing zao zipo za watu wa hali ya chini pia.jamani addis ababa ni shughuli nyingine.jiji safi sana, aise hv Tanzania imekosa nini hadi kila kishindikane? picha zinakuja soon
Hivi waisrael wana sura Nzuri?😛
mkuu picha nitazituma,kwa sasa mazingira hayaruhusu nitaonekana sio
Eheee........kuna nini tena........?.......ukiweka picha za warembo........usiache kutuwekea na sisi eye candy........tena tafuta zenye dread..........sawa eeh.........
Aya Sasa inabidi Nlale tu..Usiku mwemaga
unalalaga mapema hivo ?
Haha..ni Leo..Ila mm Sio mwenzio nna uhakika saa izi kwako Ndo kumekucha