Leo nimeshuhudia ukarimu wa watu wa Mbeya

Huwajui vizuri wewe..Watu wa mbeya wanaukabila balaa halafu washirikina.. nenda kafanye biashara mbeya ndio utawajua vizuri...Misiba ni sehemu zote wako hivyo hata Njombe nimeshachangia sana misiba ambayo siifahamu..!

Kuhusu ukabila Mbeya nakupinga kabisa. Achilia mbali mbunge Sugu ambae sio Wa kabila LA Mbeya, hata viongozi wengine Wa kuchaguliwa sio wazawa Wa pale. Hata wafanyabiashara waliojazana Mbeya ni kutoka nchi nzima.
 
Huwajui vizuri wewe..Watu wa mbeya wanaukabila balaa halafu washirikina.. nenda kafanye biashara mbeya ndio utawajua vizuri...Misiba ni sehemu zote wako hivyo hata Njombe nimeshachangia sana misiba ambayo siifahamu..!
.we muongo wewe.kama unatoka njombe basi wewe mkinga. hizo biashara za mbeya usiwe karibu na mkinga.teh teh
 
Back
Top Bottom