Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

2010 form Four wanamaliza hio usiku wanataka kukimbia mchakamchaka, maana ilikua ndio utamaduni mkimaliza usiku mnaaga walimu kwa mchaka mchaka form one wanatangulia mbele.

Mpande akapiga marufuku mchakamchaka anasema watu kama wanataka wakimbie mchana lakini form four wakagoma.

Imefika usiku saa 7 ivi kengele ikagongwa form 4 wapo azimio wanaanza mchakamchaka ukikutwa umelala unakula stick na godoro linamwagiwa maji .

Mchakamchaka huo mpaka (zenji) kumbe kuna majamaa yakina nemes, kassim na kina Dunia yamepanga kumbaka mtoto wa mpande , info zilikua tayari zishamfikia mpande nae akawa yupo zenji huko huko, tumefika tukaimba nyimbo za shule na kuaga pale mara ghafla purukushani 😂😂

Mbio zikaanza bahati mbaya ramani ya kule zenji watu hawaijui kulikua na seng'enge kibao na umeme hamna watu wanakimbia ovyo unashangaa kikundi Cha watu kimeshuka chini puuuh!! Seng'enge zimechachana watu migongo na matumbo.

Tumetoka hapo tukaenda kwa headmaster kisuu kumuaga ghafla wakati tunarudi mbele land cruiser ya polisi hio imepiga full light , watu wakajifanya hawakimbii ghafla Land cruiser full speed watu walitawanyika kama upepo.

Tunakimbia gizani unashangaa kikundi kimeanguka puuh kwenye shimo haha!! Nakumbuka nilikua na raba Moja kali sana wakati nakimbia kiatu kimoja kikavuka nataka kurudi kuchukua, nakutana na nyomi ya watu inakuja kwa speed hatari ikabidi niachane na raba nami nikaunga nduki.

Kesho yake form four walifukuzwa kama mbwa, hujajianda huna nauli unabeba tranka lako utoke ndani ya shule
 
Sawa sawa mkuu. Ngoja na wazee wa Tabora school tutafute chimbo la kukutana.
 
Asee nimetoka huko2001 hakukuwa na ujinga huo....
Bint wa Mpande walikuwa wanammega kirahisi tu maana alikuwa mcharuko.....
Huyo Kisuu nilikuwa naye Mtwara Tech 1998 nipo F1 then Nikahamia Moteseco 1998 Mwishoni, nilionana naye tena nilipotembelea MTS 2012 tukashangaana ila alinikumbuka, Nasikia hadi Bwiru alikuwepo huyo mzee .
hiyo 2012 Ikoro pia nilimkuta akiwa Camera man.
Je Mzee wa Mikogo Urassa alikuwepo hiyo 2010 maana nilisikia Mkewe alikufa
 
Mkishafanikiwa mjue wadogo/watoto zenu/wenu bado wanahitaji kutumia miundombini chakavu mlioicha tukisubiri serikali na kukumbuka tuu haina maana.
 
Mkuu nilimaliza pale 1992. Mkuu wa shule alikuwa Eugen Malale na Makamu wake Mr Mwasha.
 
Binti wa mpande ninayemzungumzia hio 2010 alikua ndio yupo form one .

Kisuu nae wa muda kumbe ,MTS ilimshinda akahamishwa.
Urassa hakuepo ila ikoro alikuepo na mpande alistaafu miaka 2 mbele akagoma kutoka MTS maana nahisi yeye ndio alikua ticha mkongwe haswa kuliko wote.

Mchakamchaka tuliikuta na hio 2010 ndio ikawa mwisho baada ya vurugu.
 
Huyo simjui, MI nilidhani Dada mtu Maana alikuwa Rika letu miaka hiyo 1998-2001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…