Leo nimeona uongo wa mchungaji Bushiri

Leo nimeona uongo wa mchungaji Bushiri

Siku hizi anatengeneza pesa kimiujiza kwaio unashangaaa mara paaaaap dola elfu 50 hizo hapo mbele yako
 
Huyu cha mtoto kuna nabii mungu wake anajua lugha moja tu na ana wafuasi kibao halafu mnamshangaa huyu.
Umeuwasha moto ahahahahaha
Mimi huwa nawaambia watu kwanini jamii inawashtuka wanaojiunga na Freemasonry huku kuna watu wanaamini dini ya ajabu na mnakula nao na hata kuoleana?
Ni heri niwe Freemasonry member kuliko kuamini ktk huyu mungu anayepokea sala kwa Lugha moja tu.
Nilikuwa mfuasi wake, Yesu mkombozi kanikomboa na sasa ni mtumishi wake.
 
Tatizo kubwa la wagalatia ni ujinga. Wanapenda sana ujinga na wanaukumbatia ujinga kuliko Yesu wao wala neno la Mungu.

Kuna wagalatia wajinga wa aina tatu kuu.
1/Huamini kwa kumfuata mtu fulani anayewaongoza. (Mtu huyo anaweza kuwa anaitwa Askofu, Nabii, Papa, Mtume, Mchungaji nk.).

2/Huamini kwa kufuata mapokeo ya dini fulani(Kwa mfano uKatoliki, uPentekoste, uLutheran, uAnglikana, uSabato nk.)

3/Huamini kwa kufuata matendo fulani katika dini yao(Kwa mfano Ekaristi, Ubatizo, Miujiza, Maajabu, Nyimbo, Maombi nk).

Hivi nani anawakataza wagalatia kumfuata Yesu Mwenyewe?

Nani anawakataza wagalatia kujifunza biblia wao wenyewe pia kuliko kusomewa na kuhubiriwa na viongozi wao?

Nani anawakataza wagalatia kuhoji, kupinga au kujiuliza kile wanachopewa kama mahubiri yasiyokwenda sambamba na ukweli wa neno la Mungu?
 
Back
Top Bottom