Leo nimeona uongo wa mchungaji Bushiri

Leo nimeona uongo wa mchungaji Bushiri

unazengua wewe mimi sija mponda ila nime chukia uongo wake kufundishwa njia za mbinguni hata wewe una weza ukiwa mwenyewe ila kinacho niuma ni watu ku nyenyekea kwakwe kuitisha pesa ukitaka kumuona nakadhalika sasa kama hii video anaonyesha anafanya miujiza kumbe hamna kitu na watu wana amini ni nini sasa hii
Nakubaliana na wewe kuwa jamaa ni tapeli, nilikuwa nataka nikusaidie zaidi badala ya kuangalia clips za youtube ambazo zingine ni edited materials nakushauri fuatilia prophetic channel anakuwa live sundays, mondays na fridays. Usitegemee sana third party information.
 
mimi ni mkristo na mlokole, sitamwongelea vibaya mtumishi huyu, ila kusema toka moyoni, sijawahi kumwamini tangu nimfahamu, kama ni mtumishi wa Mungu naomba Mungu anifunulie siku moja. pia, mimi huwa sio mshabiki/member wa makanisa ambayo mchungaji ni bilionea anaishi vizuri zaidi ya rais wakati wale watoa sadaka hawajui kesho watakula nini. naamini toka moyoni kabisa kuwa manabii wa zamani kama ELIYA MTISHIBI, ISAYA, YOHANA MBATIZAJI, YEREMIA etc na wengi zaidi hawajawahi kuishi maisha ya aina hiyo na kama wangeishi hivyo Biblia ingeandikwa maandishi tofauti na haya tunayoyasoma. kumiliki mali sio kubaya, lakini ogopa sana mtumishi wa Mungu ambaye anajenga zaidi maisha ya dunia kuliko maisha ya mbinguni, hapa tunapita tu huwezi kuwekeza sana hapa duniani...hiyo ndiyo test ya mtumishi wa Mungu. simaanishi kwamba asiishi vizuri, ila mtu ambaye kweli ameitwa na Mungu hakika yake huwezi kuwa na anasa ata siku moja kwasababu moyo wa mwanadamu ni mdhaifu sana kwenye mali na mambo ya dunia na pia huwezi kumtumikia Mungu na mali, ni vitu viwili kabisa. ndio maana ukiona mtumishi wa Mungu ambaye kweli ameitwa, utakuta mlengo wake woote ni kwenye kuokoa roho za watu hata kama atamiliki mali lakini utaona tu wazi kwamba bado mlengo wa mali zake ni kuwekeza kwenye ufalme wa Mungu zaidi kuliko kuwekeza kwenye maisha ya dunia haya. waumini ndio wanaweza fanya hivyo kwasababu hawajaitwa na Mungu.

halafu zaidi sana, sionagi mantiki yeyote kwa mtumishi wa Mungu akipata mali kuianika kwenye mapicha na mitandao etc ili watu wamwone kuwa ana mali hizo. kuna uwezekano mkubwa sana ukapata percentage fulani ya utukufu au watu wakaja kwako wakakuamini wewe zaidi kuliko kumwamini Mungu, kuna uwezekano ukabeba utukufu wa Mungu kwa namna moja au nyingie. kama una mali, kwanini uzianike? labda kama Mungu amekushuhudia ufanye hivyo itakuwa sahihi lakini kama sio hivyo mimi bado sio mshabiki sana wa kujipiga mapicha kujianika kuwa nina hela fulani, jumba fulani niko hivi vile etc wakati wale ninaowachunga hakika yake ni wapangaji, na wengine nimekuwa nao kwenye kanisa langu miaka hata 10 hawajajenga na ninachukua sadaka zao kila siku.

mtanisamehe wale waumini wake, kwa kweli sisemei kwa dhihaka, ninasema kilichopo moyoni mwangu, kama sielewi nitaomba mnisamehe na kunielewesha tu na kunisaidia ila hivyo ndivyo ninavyoshuhudiwa moyoni mwangu.

kama manabii wa zamani wangeishi ravish lifu la namna hiyo hivi hata Bible ingeandikwa? kumbuka kuwa hazina yako ilipo ndipo utakapokuwepo na moyo wako, pale unapowekeza sana ndipo patakapodescribe where you belong. dunia imekaribia kuisha na kazi kubwa kuliko zote Mungu anataka tufanye ni kuvuna roho zilizopotea, prosperity gospel iliingia marekani zamani sana na wengi wamelizwa na kuacha uwokovu kabisa kutokana na masalia ya wapiga pesa yaliyojiingiza kujifanya watumishi.

ninaamini siku hizi wapo manabii wa Mungu lakini ndani yake pia wapo wengi wamejiingiza wala hawajaitwa na wala sio watumishi wa Mungu kabisa! Beware, kama ulikuwepo wakati wa kuwa makini ndio huu. ukisema ubaki usiokoke ndio unyakuo utakuja na utaenda motoni, ukisema uhangaike kwenda kila kanisa unaweza angukia kanisa na shetani.

hata hapa kwetu kuna makanisa mengine wachungaji wanatukana, wanakunywa konyagi fresh tu lakini utakuta waumini wamejaa hadi unajiuliza hivi hawa akili zao kweli zimefungwa na nini? siku zote mchungaji anahubiri tu magari, pesa etc, hawahubiri wokovu, maisha matakatifu, kujazwa Roho Mtakatifu na kuishi kwa kumfuata Roho kama wokovu wa zamani ulivyokuwa....jamani, tuwe makini!
 
Ngoja watazinduka tu usiwe na haraka......hapana bado wanakoroma...haaa kwani saa ngapi sa i!hebu ngoja tuone...!
 
Umenikosha uliposema "sisemei kwa dhihaka". Ukitaka kujua anafundisha nini fuatilia mahubiri yake live achana na youtube za kutengenezwa.
Utakubaliana nami kuwa watumishi wa kweli hawakubaliwi na dunia. Picha nyingi za mitandaoni zinatupiwa na haters wake, zilizo genuine zipo pia ila kama hujaijua genuine ni rahisi kudanganywa na fake zilizozagaa.
Kwa kuwa umeokoka utakubaliana nami kuwa wokovu wa miaka ya 80 na 90 ilikuwa dhambi kusuka na kuimba kwa kucheza kama Rose Mhando. Siku hizi walokole wanacheza kuliko clubs. Ule ulokole wa kulia hadi wakaitwa kanisa la watu wanaolia uko wapi.
Vilevile kudhani utajiri ni dhambi sio sahihi maana kama Mungu ni baba yako na ni tajiri wa vyote kwa nini wewe mwanae uwe maskini basi Mungu wako hakupendi mwanae maana baba humrithisha mwana mali zake.
Ukumbuke pia makanisa yanajengwa na fedha sio maombi tu. Tabia ya mtu hudhihirika baada ya kuwa na fedha, fedha haibadili tabia ya mtu ila inadhihirisha mtu halisi.
Samahani kama kuna sehemu nimekuudhi ktk ufafanuzi wangu.
 
haujanikera, ninaupokea ushauri wako mkuu. thanks, ndio maana nilikubali kukosolewa, you never know, just by posting this kuna wengi sana watakuja hapa kufafanua zaidi na zaidi na kama kuna jambo lolote la kweli litafunuliwa hapa. cha msingi ni kwamba mtumishi wa Mungu hudhihirishwa na Mungu, I have never been in Malawi, pia huwa naangalia ile tv yake mara chache, nitaangalia zaidi na nitapata ukweli.

ila cha msingi, kuna watumishi hapa duniani wanatia mashaka sana, mfano ni hapa tu bongo, wapo na wanakusanya sadaka, ila huwa siwaelewi, walevi, wanatukana madhabahuni, hawahubiri wokovu wa roho bali 90% ya mahubiri yao ni kuhubiri pesa kwa kisingizio hichohicho kwamba kwasababu Mungu ni baba yako hutakiwi kuwa maskini hivyo wao sasa wameegemea zaidi upande mmoja kuliko kwenye roho, jambo hilo ndilo nalipinga. its just a caution kwamba tuwe makini sana kwenye kanisa lolote unaloenda, tafiti kwanza na mwombe Mungu akudhihirishie.
 
huu utamaduni wa mzungu unatuchanganya sana.

Afrika haiwezi kuendelea kwa kuamini utamaduni wa mzungu.
 
Tatizo watu tu wavivu wa kutumia akili tulizopewa na Mungu kutafakari kwa kina na kufikia hitimisho la jambo lipi ni kweli na lipi ni utapeli na wizi mtupu. Hata wasomi hawajiongezi, wanaamini tu kiupofu upofu tu. Tutumikishe akili zetu na kuziamini katika ukamilifu wake, tutaokoka na wizi huu wa watu wasiotaka kufanya kazi halali kwa kipato halali
 
kweli siku hizi huduma ya kiroho ni biashara kama biashara zingne zenye kuleta faida\hasara....
 
Alituma post yake majuzi tu fb nikamjibu kuwa Wewe endelea kuiba tu pesa za waumini ila jua kuwa ipo siku ambayo kila jambo litakuwa wazi na utatoa hesabu ya kila tendo ulilofanya, liwe baya au zuri.Nikambandikia na andiko.
Weeeehhh majinga yake walinijia juujuu mimi nikawajibu haniwezi huyu mtu wenu.
Bushiri ninamfahamu sana kwani nilikuwa ni kama mwanafunzi wake ingawa hatujawahi kuonana live, na mwaka 2015 Januari nilikuwa na appoitment naye ya kukutana SA kabla sijajua nini kilicho nyuma ya pazia. Ashukuriwe Mungu nilikosa ruhusa kazini na kutoroka niliogopa.
Alikuwa rafiki yangu fb na mdau wa pages zake zote.
Nilianza kumfuatilia tangu akiwa ndo kwanza anaanza huduma yake nyumbani kwao MALAWI huku akitokea mikononi mwa baba yake wa kiroho (Uebert Angel) ambaye kwasasa amekimbia Harare na kutimkia Uingereza baada ya kashfa ya utapeli kwa tajiri mmoja mkubwa wa Zimbabwe.
Bushiri ni muhuni tu.
Mimi ninamjua na kumwamini Mungu wangu, haniwezi na alichonipita ni mali tu na ushirikina.
 
Umenikosha uliposema "sisemei kwa dhihaka". Ukitaka kujua anafundisha nini fuatilia mahubiri yake live achana na youtube za kutengenezwa.
Utakubaliana nami kuwa watumishi wa kweli hawakubaliwi na dunia. Picha nyingi za mitandaoni zinatupiwa na haters wake, zilizo genuine zipo pia ila kama hujaijua genuine ni rahisi kudanganywa na fake zilizozagaa.
Kwa kuwa umeokoka utakubaliana nami kuwa wokovu wa miaka ya 80 na 90 ilikuwa dhambi kusuka na kuimba kwa kucheza kama Rose Mhando. Siku hizi walokole wanacheza kuliko clubs. Ule ulokole wa kulia hadi wakaitwa kanisa la watu wanaolia uko wapi.
Vilevile kudhani utajiri ni dhambi sio sahihi maana kama Mungu ni baba yako na ni tajiri wa vyote kwa nini wewe mwanae uwe maskini basi Mungu wako hakupendi mwanae maana baba humrithisha mwana mali zake.
Ukumbuke pia makanisa yanajengwa na fedha sio maombi tu. Tabia ya mtu hudhihirika baada ya kuwa na fedha, fedha haibadili tabia ya mtu ila inadhihirisha mtu halisi.
Samahani kama kuna sehemu nimekuudhi ktk ufafanuzi wangu.

mkuu hivi yule razalo mla makombo pale nyumbani kwa tajiri hakuwa mtoto wa Mungu? naomba unijuze kidogo hapa
 
AZUSA,
Nakusalimu kaka/dada, umeandika vizuri mpka nikaona nisipite bure nitoe neno kidogo. Mpka unamuimba Mungu akuoneshe uhalali wa Bushiri maana yake ana shida. Najua wengi ktk firum kama hizi hawapendi kuita beleshi beleshi lakini ksma ww ni mkristo na ukiwa na mashaka tuu ktk jambo ujue kuna shida. Ingawa shida inaweza kuwa ktk pande zote mbili. Lakini tuangalie hawa manabii na misingi ya imani wanayoijenga. Nitatoa mfano; Mtume na nabii Mwingira hashelekei Sikukuu ya kuzaliwa Yesu kwa kisingizio cha tarehe. Sasa unajiuliza Yesu alizaliws au la? Jibu ni kuwa alizaliwa basi wewe sherekea hata kuzaliwa kwake siku yyte. Sasa unapoona nabii hajui kuwa wakristo wanasheherekea kuzaliwa kwa Yesu na sio tarehe unashindwa kumuelewa. Huyu ni mmoja tuu ktk hii mifano wrngine wanswexa leta mifano mengine ya kumjua nani ni fake.
 
Back
Top Bottom