Mbona kueleweka kabisahata sikuelewi unaongea nini rekebisha kiswahili mzee
unazengua wewe mimi sija mponda ila nime chukia uongo wake kufundishwa njia za mbinguni hata wewe una weza ukiwa mwenyewe ila kinacho niuma ni watu ku nyenyekea kwakwe kuitisha pesa ukitaka kumuona nakadhalika sasa kama hii video anaonyesha anafanya miujiza kumbe hamna kitu na watu wana amini ni nini sasa hiiUkitaka kujua utapeli wake angalia prophetic channel at least mwaka mmoja hivi. Mimi nimemfuatilia tangu 2013 yaani ametapeli wengi sana badala ya kuwaacha waende jehanam yeye anawafundisha siri za mbinguni, anaudhi sana.
Mwingine tapeli ni Ontario yaani anafichua siri za jinsi ya kutajirika wakati asili yetu ni umaskini, umaskini upo kwenye damu yeye anataka tuachane nao, Ontario huyu.
Kuna video moja huko kanisani kwake wanatokea malaika eti wanashuka na watu wanaamini wanalia na kupiga kelele kumbe ni technology tu ameseti kwa juu na kutoa mwanga mweupeKumbe na huyu ana waumini? So shame kulaza akili zetu et na wao wanamtafta Mungu wa kweli hawa
Weee imani gani mkuu???Hizi imani hizi jamani!
Bushiri ni tapeli tena tapeli tena tapeli haswaYesu alisemaje tena vile?"IMANI YAKO NDIO ITAKAYO KUPONYA".Ndio maana kuna uhuru wa kuabudu.Wewe unamuona hafai,wapo walionufaika na huduma yake.CHUKI ni kitu kibaya sana,hasa tunapokuwa tunaingiza masuala ya imani.Labda nikuulize mtoa post,wewe unapoamini,akitokea mtu akakashifu imani yako.Wakati wewe unapata huduma stahiki.wewe utamchukuliaje huyo mtu?Mwenyezi Mungu amekupa ufahamu utumie vyema.Nenda ukasome Zaburi 37:7.Kama hautaweza kuisoma zaburi yote ya 37.Halafu ulete mrejesho hapa.Aluta Continua!
Mie RC mkuuWeee imani gani mkuu???
Comment yako imeongozwa na chuki na ni irrational. Unataka kutuambia kuwa dini nyingine nje ya Ukristo hakuna wapotoshaji?Wakiristo ktk ubora wao! Haya yetu macho....wajinga ndio....
hiyo video unaweza kuipata maana nataka niione vioja vyake zaidiKuna video moja huko kanisani kwake wanatokea malaika eti wanashuka na watu wanaamini wanalia na kupiga kelele kumbe ni technology tu ameseti kwa juu na kutoa mwanga mweupe
Jamaa tapeli balaa