Leo nimeona MAMBO!!: TRA mnayajua haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo nimeona MAMBO!!: TRA mnayajua haya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Jun 17, 2011.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo nilikwenda kutuma fax kwenye secretarial offices boot (mahali pa kununua huduma za fax nk) mara akaja M-tz mwenye asil ya Asia mzee mtu mzima. Alikuwa na zile karatasi za TRA za kulipia kodi mbali mbali benki. Ile karatasi ya kijani aliyokuwa nayo pale ndiyo iloyonishangaza.

  Penye sehemu ya mhuri wa benki palibandikwa kikaratasi cha mraba cha rangi nyeupe yenye kuonyesha Akiba Commercial; (nadhani), kilichoendelea ni yeye kuomba itolewe p/copy. P/copy ya kwanza ilipotoka ilionyesha mistari ya mraba (margins) ya ile karatasi nyeupe. Lakini nahisi ni wateja wa mahali pale, kilichofuata ni mtoa kopi kuingia chumba cha ndani, aliporudi kopi aliyokuja nayo haikuwa na zilemargins!! na ilionekana kuwa nakala halisi!!!! Yule Mwasaia lakini alikuwa mda wote akitetemeka. Bei ya payment voucher ile ilikua Tsh 36,000/= tu.

  Je, ni mangapi yanafanyika kama hayo? kwani niliwahi pia kukuta ikitolewa kopi ya cheti cha kuzaliwa na sehemu nyingine nilikuta cheti cha shule....
   
 2. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  kwaini usilipoti polisi ndugu yangu? huo ni wizi mkubwa ambao hutakiwi kuufumbia macho
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  gabachori mizi tuuu!! hakuna watu wanaopenda vitu vywa kimagumashi kama hawa jamaaa wizi mtupu!!!!
   
 4. t

  tambarare Senior Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  biashara hiyo inafanyika sana na wahusika kwa sababu zao wamejikita na chadema wanashindwa kufanya kazi zao za msingi .....kuna issue ya kujiunga na jeshi arusha ambapo watu wawili walikuwa na vyeti vya form 4 /kuzaliwa vinavyofanana wakakamata ,,,walipowabana wahusika wakasema sehemu waliotengenezea ....sasa serikali /usalama wa taifa hawawezi kufanya au mitego au ukaguzi wa kushtukiza wakabaini madudu kama hayo?
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mujini......kimujini mujini mkuu!!
  wizi wa kodi za TRA zinafanywa sana tu mkuu!!!
   
 6. Rocket

  Rocket Senior Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sysyetm yt iko loose sna .so wadosi wanapiga bao ile mbaya !!!ss tunapenda majungu!!!!
   
 7. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Na ndo maana TZ hatuendelei! Walipa kodi, wapokea kodi wote wamekuwa matapeli! Ni wachache sana ambao ni waadilifu kutimiza wajibu wao
   
 8. D

  Danniair JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kuwa ninazo simuchache za ndugu zangu ambao ni mapolisi na wapelelezi na nilikuwa nimemwacha mmoj kariiibu sana na tukio, Pia sehemu yenyewe ni kariiibu mno na kituo cha polisi: sikupenda kumwita awaye yote kwani kuwaita ilikuwa ni kuwapa neema ya rushwa. Niliwahi kufanya hivyo wakafanya hayo na baada ya kujipatia chochote wakauliza na mimi nikatiwe ngapi. Nikachukia hadi leo.

  Nimesema ili umma ujue na mwisho wa siku tupate uamuzi mzuri. Kwa taarifa wapelelzi wapo karibia kila mtaa ktk miji yote, ukiwa unijua costume yao haikupi ugumu wa kuwaendea na kuwataarifu.
   
 9. D

  Danniair JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo jingine liko kwtu sisi wenyewe, hatuelimishani umuhimu wa kulipa kodi na kuchukua risiti za manunuzi, ndo maana Uganda wanakaribia kutushinda.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  ukimaliza kulipoti polisi ununue na sanda yako kabisa la sivyo uhamie nchi nyingine.
   
 11. b

  bulunga JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hebu tulezane ukweli, inakuwaje kuna habari nyingi sana kuhusiana na swala hili, watu wanasema unaanza tarehe 1 july, wengine wanasema tayari utaratibu huu ndo unatumika sasa hivi , ukweli ni upi hapa
   
 12. b

  bulunga JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hebu tulezane ukweli, inakuwaje kuna habari nyingi sana kuhusiana na swala hili, watu wanasema unaanza tarehe 1 july, wengine wanasema tayari utaratibu huu ndo unatumika sasa hivi , ukweli ni upi hapa
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Miaka ya nyuma hawa jamaa wa usalama/Undercover police? walikuwa wanapita sana kimtindo hizo sehemu,
  nakumbuka jamaa mmoja alidisco Mlimani mwaka wa pili, na baada ya muda akapata nafasi ya kwenda US, hivyo alipanga akifika huko andeleze mwaka wake mmoja ili amalize degree yake ya miaka mitatu, alichofanya alitengeneza trans ya miaka yake miwili na issue ikawa ni mihuri,basi akaenda maeneo ya wachonga mihuri na akawapa sample ya muhiri ya Dean na mihuri mingine ya chuo, baada ya siku tatu akarudi kuchukua mihuri yake sasa alipotoka hapo baada ya mitaa mitatu akasimamishwa na jamaa na kuulizwa amebeba nini kwenye mfuko wake, jamaa alijikuta centro kimasiharamasihara tu
  ni true story
   
 14. D

  Danniair JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi naishukuru sana JF menejimenti kwa kuturuhusu kubwabwaja, nijuavyo wanasema wazungu, 'from non sense we make sense'. Mambo mengi tumekuwa tukiwapigia simu waandishi wa habari lakini hawayapi uzito wowote. Hapa ni kama gazeti. Kuhusu matumizi ya mashine mpya ni kuwa yaliisha anza ila kuna upungufu huu:

  1. Ukiingia dukani huwezi kujua ni nani anayo na ni nani hana, kwa nini ni kwa sababu hakuna alama zozote zinazokuonyesha kuwa huyu anayomashine ya risiti hivyo dai risiti yako.
  2. Wamiliki wanajificha ili tu wasiweze kuwakilisha kodi kubwa TRA hivyo si rahisi wakupe risiti

  Ushauri wangu kwa vyombo husika; waende NHC waone risiti zao zilivyo imara. Kwa TRA, staili ya kutumia nikono ya ma-teller imepitwa na wakati. Juu ya hizo karatasi za kupeleka benki waziboreshe kama vyeti vya NECTA. Ikitolewa kopi basi maneno kopi, kopi, kopi nayo yatokee. Hii itazifanya zile karatasi zenye mihuri kama nilizoziona kufa mara moja.
   
 15. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,998
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280

  ....ndo maana Iddi Amini Dadaa, aliamua kuwatimua Wahindi wote Uganda kipindi hicho....
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Aaaaaaaaaaaarh! Ni kuchakachua tu, maana hata kodi zenyewe tukilipa wanakula was*nge wachache!
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,151
  Trophy Points: 280
  Hilo duka lilikuwa la Muhindi au Muhindi ni mteja? Halafu hii stori haiingii akilini.
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  TRA wapo kweli?, mimi najua duka moja la jumla mjini DSm ambalo halitoi risiti kabisa na wanauza bidha wanazozgiza wenyewe kutoka nje.
   
 19. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  TRA wenyewe wala rushwa wakubwa,watawezaje kukomesha huu wizi?
  wasipojisafisha wenyewe hakuna kitakachoendelea. ni mfanyakazi gani wa TRA unaemjua ambae hajajilimbikizia mali?????
  wao na hao mabannyani ni dugu moja wanakula sahani moja.
   
 20. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa kwenye list ongeza na watumia kodi
   
Loading...