Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Alafu nyie ndo mnajiitaga Don..

Uku wazazi wenu wananyeshewa Mvua matopeni.+ msosi wa ngumi.
 
Hao viumbe hawaaminiki , Subiri muda wa kulipa atakavyokupiga chenga
 
Yani wanaume tumekuwa walegevu kiasi hiki hapo angekuwa mchizi ungempa kweli mzee baba
 
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
umeshajijibu hapo
 
Namjua,hiyo hela kaombwa na bwana wake,amemuongezea akanunue pikipiki ya kuingizia kipato," bodaboda" ,jamaa yake toka wako chuo,yeye jamaaa hajabahatika kupata ajira, kazi kwako...

[emoji23][emoji23][emoji23] wee mzee
 
Ivi toka uanze kaz hapo je! Kuna ndugu yako alishawahi kukuomba pesa ukamtumia kulingana na mahtaj yake?
Jombaa umezingua sana na ujue hapo kuna msela anakula.

Bro Kwani Uyu Demu Hawezi Kuwa Ndugu Yangu... Bro Unabagua Watu Wa Kusaidia Asee
 
Mkuu Ushauri Mzurii Sana Huu Nitaufata Nakuahidi


Unalalamiika mzee, kwenye bajeti yako si kuna kiwango ambacho unapaswa kujiwekea hata mtu aje wa namna gani isivuke hiyo au unaishi bila kuwa na planed budget ? savings unafanya kweli kama ndo mwendo huo? nimewahi kumdhamini mtu milioni 10 akalala mbele halafu ni ndugu sasa mtu kama huyo unamfanyaje? njia niliyojigundulia ni kuwa na kiwango kama ni 5% au 10% ya pato la mwezi kama kuna dharula ambayo naithibitisha maana hela kuzitumia ni rahisi ila kuzitafuta unatumia masaa mengi - kwa maoni yangu naona bado kuna mengi hujayapitia pitia ila ndo utanyooka tu atakapokupotezea kimya kimya maana umesaidia kwa kutarajia malipo fulani...na imekuuma pengine ni 25% au 50% ya mshahara wako...pole ndugu
 
Mchizi Aje Na Sababu Maalum Mzee Anapewa, Tatizo La Wanaume Wenzangu Anakuja Anakulilia Shida Kumbe Kwa Sababu Keshaliliwa Shida Na Mwanamke Huko

Yani wanaume tumekuwa walegevu kiasi hiki hapo angekuwa mchizi ungempa kweli mzee baba
 
Njia pekee ya ww kulipwa ni kukataa papuchi ukikubali kupewa papuchi basi hiyo hela sio yako tena
 
Moja ya tabia nilonayo ambayo sijajua chanzo chake ni kwamba:
Nikiwa sina hela huwa nawataman sana ma nimt wakal wakal na kuishia kujiapiza kwamba ngoja michongo yangu iteme watanikoma..
Lakin mishe zangu pale zinapojib na mapene kucheua,aisee sijui zile tamaa zinaishia wap.najikuta bahil kwel kwl.
Siwez nunua papuch hata kwa 50k sasa mzee ww umetoa 500k ??
Kwel ww ni viwango vingine
 
Hapo kuna mambo matatu 1.kulipwa na urafiki uendelee ama usiendelee 2.kupewa papuchi 3. Kutolipwa na urafiki wenu kuvunjika
 
Hallo kwa hali hii ningehona ufahari urafiki uwishe tu sikujui unijui
 
Back
Top Bottom