Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

If u want yo money back usijaribu omba kitu. Acha arudishe kwanza
 
Yaani umenunua MATUMAINI ya kipochi kwa laki tano? Aidha wewe ni tajiri sana au fala sana.
Ni fala sana haiwezekani kununua kipochi kwa laki tano. Hapo angenunua vipochi 100 kila moja 5,000 kwa siku mia moja ambayo ni sawa na miezi mitatu na siku kumi.
 
Aise mambo ya ajabu kabisa...lakini angekua mwanaume mwenzio ungempiga kalenda nyingi na kumuambia mambo magumu na wakat uwezo wa kumsaidia upo, sasa nakuambia kua hatakurudishia hio hela piga ua na kukurudishia kwake itakua kukupa papuchi kwa usiku mmoja tu baada ya hapo hesabu maumivu
 
Mambo ya kupumbavu sana Haya...kuna wadau wanakujaga kuomba hata elfu tano ya kula humu lakin hamuwasaidii..ila mwanamke unahonga laki tano
 
Mbona wenzako huwa tunawapa hata mamilioni lakini wanaturudishia na nyongeza juu.

Angalia aina za wanawake unaowapa hela.
 
Mm ctakagi mazoea mpk nikugonge kwanza madhara yake ndio hayo...wakati hiyo laki 5 ungemtoa dinner Mara mbili 2 usingetoka patupu lazima ungepewa papuchi, sasa bro, usawa huu 500 hata tako hujashika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unalalamiika mzee, kwenye bajeti yako si kuna kiwango ambacho unapaswa kujiwekea hata mtu aje wa namna gani isivuke hiyo au unaishi bila kuwa na planed budget ? savings unafanya kweli kama ndo mwendo huo? nimewahi kumdhamini mtu milioni 10 akalala mbele halafu ni ndugu sasa mtu kama huyo unamfanyaje? njia niliyojigundulia ni kuwa na kiwango kama ni 5% au 10% ya pato la mwezi kama kuna dharula ambayo naithibitisha maana hela kuzitumia ni rahisi ila kuzitafuta unatumia masaa mengi - kwa maoni yangu naona bado kuna mengi hujayapitia pitia ila ndo utanyooka tu atakapokupotezea kimya kimya maana umesaidia kwa kutarajia malipo fulani...na imekuuma pengine ni 25% au 50% ya mshahara wako...pole ndugu
Boss 10M ni asilimia ngapi ya mshahara wako? Kuna watu mnamijihela humu[emoji848]
 
mwanangu mimi kuna dem wa motherhous juzi kanifata kwenye room langu kaja na kisimu chake anadai kibovu batani hazifanyi kazi! ee bhn tumepiga stories za hapa na pale nikajikuta nimemtunuku kisimu changu cha akiba nilichokuwa nacho. baada ya hapo dem hataki shobo tena na mimi hata namba tu kunipa imekuwa mtihani hataki! dailly namsikia akiongea na mabwana zake tu. sasa najiuliza nitumie mbinu gani kurudisha sim yangu. nawaza nachekecha nashindwa nianzie wapi ikizingatiwa mm ni baba wa familia japo wife ana muda amesafiri sasa ikija gundulia nilihonga sim si aibu hii!
Mwite mwambie aje na hiyo simu, akifika ichukue mwambie Kuna namba nahitaji nili save kwenye simu akikukabidhi tu ameliwa nikutoa laini na kumpa kilaini chake hakuna kucheka na kima[emoji4]
 
Back
Top Bottom