Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Kuna binti alinikopa, atarudisha baada ya wiki moja.muda ukafika na ukapita hakuna chochote,ghafla kakaanza kuniita KAKA,ndio ikawa imetoka.
😂😂😂trust me soon utaitwa KAKA
 
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
Umeliwa tayari, Wanaume tunatofautiana sana
 
Ushamba wa papuchi ni mbaya sanaa..
Usiseme ushamba wa papuchi kama vile wewe ni mgeni sana na wanawake dont underestimated the power of papuchi......mwanaume rijali atanielewa kauli yangu
 
Hajasema kanunuaa papuchi kamkopa mzee ila probability ya kurudishiwa ndiyo swali alilokuja nalo mdau
Sasa ashaonyesha tamaa ya kimapenzi atarudishiwa vipi???? Hapo malipo na makuu tu mamaee... hakuna jipyaa
 
Hahahaha,, kwa iyo mwanaume analialia kumbe na yeye kaliliwa na shemeji huko
Mchizi Aje Na Sababu Maalum Mzee Anapewa, Tatizo La Wanaume Wenzangu Anakuja Anakulilia Shida Kumbe Kwa Sababu Keshaliliwa Shida Na Mwanamke Huko
 
Una malengo nae au unataka ugonge usepe?

Kama una malengo nae usimpe ...

Na kama unataka ugonge tu upite hivi usimpe [emoji3][emoji3].

Mnatoa wapi sura ya huruma huruma mkiwa mnatongozA???
 
Mwanaume hana kipochi manyoya banahhh na imeandikwa mwanaume atafute kwa shida sasa unatakaje mwanaume mwenzako akupe hela ya bure bure bila kuipata kwa uchungu
So hata baba hawez kusaidiwa na mtoto wake wa kiume sababu ni mwanaume mwenzie
 
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mzee baba pambania kombe baba lkn mkishaingia kwny mapenzi hio hela isahau tu..
 
Back
Top Bottom