Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Faza, ungebet elfu 10 za laki Tatu ungetengeneza sh ngapi unajua!?
 
Aise mambo ya ajabu kabisa...lakini angekua mwanaume mwenzio ungempiga kalenda nyingi na kumuambia mambo magumu na wakat uwezo wa kumsaidia upo, sasa nakuambia kua hatakurudishia hio hela piga ua na kukurudishia kwake itakua kukupa papuchi kwa usiku mmoja tu baada ya hapo hesabu maumivu
Mwanaume hana kipochi manyoya banahhh na imeandikwa mwanaume atafute kwa shida sasa unatakaje mwanaume mwenzako akupe hela ya bure bure bila kuipata kwa uchungu
 
Umenifanya nikuwazie chako kipo sampuli gani Edelyn wangu....kipochi manyoya ama kitumbua
Kwani kipochi manyoya ndo kikoje na kitumbua ndo kikoje? Halafu unaanzaje kuanza kuwazia naniliu yangu kabla ya sura yangu? Khee sijawahi kuona.
 
Ambacho umefurahisha ni kwamba ww unajiamin mzee Tayar kwenye moyo umejiwekea double chance.. Either to loose with no gain or loose with gain..
 
Back
Top Bottom