Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
Unalalamiika mzee, kwenye bajeti yako si kuna kiwango ambacho unapaswa kujiwekea hata mtu aje wa namna gani isivuke hiyo au unaishi bila kuwa na planed budget ? savings unafanya kweli kama ndo mwendo huo? nimewahi kumdhamini mtu milioni 10 akalala mbele halafu ni ndugu sasa mtu kama huyo unamfanyaje? njia niliyojigundulia ni kuwa na kiwango kama ni 5% au 10% ya pato la mwezi kama kuna dharula ambayo naithibitisha maana hela kuzitumia ni rahisi ila kuzitafuta unatumia masaa mengi - kwa maoni yangu naona bado kuna mengi hujayapitia pitia ila ndo utanyooka tu atakapokupotezea kimya kimya maana umesaidia kwa kutarajia malipo fulani...na imekuuma pengine ni 25% au 50% ya mshahara wako...pole ndugu
 
Hela ndogo sana hiyo jombaa mpaka unaleta uzi humu. Fanya ni msaada tu nawe huwezi jua kuna siku takwama tasaidiwa ila kama unawaza fadhila ya papuchi unakuwa wala hujamsaidia na hufai kuwa rafiki yake.
 
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
Aisee mm leo nimetoa 25 elfu eti nimkopeshe ila naona ndo kubet kwenyewe nako huku
 
Hahahaaaaa,.......Bro, iyo laki tano ungesubiri game za kesho AFCON ukaweka UNDER 2.5, znakuja odds 2.3, kwa 500K unashinda Milioni na laki 2, haaaa weekend ukiingia mjini kutafuta papuchi ya Laki unapata quality 5 star papuchi!! UYO NDO KAKULAGHAI IVO NA ATAKUSUMBUA SANA, SKU IDI WADADA WA KITANZANIA WAMEKUA WASWAHILI NA WAONGOWAONGO SANA, hahahaha.... UTANI TU MZEE
 
muda wa kulipwa ukikaribia utaletewa papuchi, ukiila tu ujue deni limefutwa.
 
in the beautiful hands of a "slay queen" subiri atakuomba mpaka pesa ya drip ndipo utatia akili
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili za wanaume wanazijua wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka kumalizia ile comment yangu kama hivyo uliyosema wewe ila nikaamua niache tu bora unisaidie wewe kiazi kusema maana mie muhogo nikisema nitaambiwa nina mizizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haha ndo ishaenda iyo mze baba ..pambania akupe mzigo tu upunguze machungu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio vibaya kusaidia. Lakini wanawake inabidi wawe wawazi kuwa wana shida na wanochihitaji ni msaada. Hii gia ya kukopa alafu wanakwepa kulipa sio ustaarabu.
Kuna dada niliwahi mkopesha laki mbili. Nikaona baada ya kumkopesha urafiki wetu unasua sua. Na kweli nilikuwa najua kuwa by that time hakuwa na income yoyote hivyo nikamwita nikamwambia kuwa ile hela nimemsamehe wala asihangaike kunilipa tena.
 
Yaani umemkopesha tu unataka upewe k sasa ungempa kabisa je?
Girlfriend hakopeshwi.
Hapo maana yake kaombwa hiyo pesa.
Ataanzaje kudai hiyo pesa?

Kashaona jamaa ni wa kuchunwa.
Akirudishiwa hiyo pesa yote basi jamaa ajue kapata wife material.
 
mwanangu mimi kuna dem wa motherhous juzi kanifata kwenye room langu kaja na kisimu chake anadai kibovu batani hazifanyi kazi! ee bhn tumepiga stories za hapa na pale nikajikuta nimemtunuku kisimu changu cha akiba nilichokuwa nacho. baada ya hapo dem hataki shobo tena na mimi hata namba tu kunipa imekuwa mtihani hataki! dailly namsikia akiongea na mabwana zake tu. sasa najiuliza nitumie mbinu gani kurudisha sim yangu. nawaza nachekecha nashindwa nianzie wapi ikizingatiwa mm ni baba wa familia japo wife ana muda amesafiri sasa ikija gundulia nilihonga sim si aibu hii!
 
Back
Top Bottom