Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka kumalizia ile comment yangu kama hivyo uliyosema wewe ila nikaamua niache tu bora unisaidie wewe kiazi kusema maana mie muhogo nikisema nitaambiwa nina mizizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa muhogo
 
Ukitaka hiyo pesa irudi yote on time achanacna mambo ya papuchi yake... Komaa arudishe pesa muda ukifika ... Ukiona anakuzungusha sana jitahidi ufanye compasation kwa papuchi
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
 
Girlfriend hakopeshwi.
Hapo maana yake kaombwa hiyo pesa.
Ataanzaje kudai hiyo pesa?

Kashaona jamaa ni wa kuchunwa.
Akirudishiwa hiyo pesa yote basi jamaa ajue kapata wife material.
Anaanzaje kumdai? Yaani wanaume mnanifurahishaga basi tu yaani mtu hadi laki tano unashindwa kumdai mtu eti kisa ni mwanamke? Huyo aseme tu kama ana hela za kuchezea.

Tunashindwaga kudai hela ndogo ndogo ila siyo laki tano we huo si mshahara wa mtu mwisho wa mwezi au mtaji wa mtu wa biashara? Khaa mnayatakaga wenyewe na ndo mvitulize sasa mnahangaika nini kama hamtaki kuhonga?
 
Wewe hahahahahahahah nicheke kwanza ila omba mungu huyo dada awe mtu mwenye huruma na busara pesa zitarudi.... Akiwa kanjanja heheheheheh andika umebet na mkeka umechanika
 
mara ya mwisho kutoa sadaka ni lini?
Acha sadaka mara ya mwisho kumpa kiasi kama hicho mama yake ilikua lini?,laki tano kwa papuchi?,mfano angeenda kununua papuchi kwa wauzaji ambao hata mitandaoni wanauza wastan wa 25,000 kwa hela hiyo angekula papuchi 20 aina tofauti na radha tofauti,jamaa wafoo sana tu
 
Anaanzaje kumdai? Yaani wanaume mnanifurahishaga basi tu yaani mtu hadi laki tano unashindwa kumdai mtu eti kisa ni mwanamke? Huyo aseme tu kama ana hela za kuchezea.
Tunashindwaga kudai hela ndogo ndogo ila siyo laki tano we huo si mshahara wa mtu mwisho wa mwezi au mtaji wa mtu wa biashara? Khaa mnayatakaga wenyewe na ndo mvitulize sasa mnahangaika nini kama hamtaki kuhonga?
Kwa mfano Edelyn ndio kwanza nimekuomba mambo yetu yale, umenikubali lakini bado haujanipa mambo yetu au haujanitosa wala haujanijibu kama umenikubalia kisha unaniomba nikusaidie kwa kukukopesha kama jamaa.

Unafikiri naanzaje kukomaa kukudai pesa yangu?
Hapo dawa yake ni kukwepa kumkopesha basi!
Au jua umehonga umpatie hiyo pesa au nusu yake. Akikulipa bahati yako maana umepata mwanamke anaekujali sana, hasieweza kukuumiza, umepata mke.
 
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
Endelea tu kumpa kama akihitaji siku nyingine ipo siku na yeye atakupa unachokitaka kutoka kwake mvumilivu hula mbivu
 
Kwa mfano Edelyn ndio kwanza nimekuomba mambo yetu yale, umenikubali lakini bado haujanipa mambo yetu au haujanitosa wala haujanijibu kama umenikubalia kisha unaniomba nikusaidie kwa kukukopesha kama jamaa.

Unafikiri naanzaje kukomaa kukudai pesa yangu?
Hapo dawa yake ni kukwepa kumkopesha basi!
Au jua umehonga umpatie hiyo pesa au nusu yake. Akikulipa bahati yako maana umepata mwanamke anaekujali sana, hasieweza kukuumiza, umepata mke.
Mmhh kama akikurudishia hela ndo anakuwa mke je na waume pia wako wangapi? Wanaume ambao wanaweza kumpa mwanamke hela bila kumuomba chini ni wangapi? Mnatakaga mpate wake wema ila ninyi wenyewe kuwa waume wema hamtaki
 
mwanangu mimi kuna dem wa motherhous juzi kanifata kwenye room langu kaja na kisimu chake anadai kibovu batani hazifanyi kazi! ee bhn tumepiga stories za hapa na pale nikajikuta nimemtunuku kisimu changu cha akiba nilichokuwa nacho. baada ya hapo dem hataki shobo tena na mimi hata namba tu kunipa imekuwa mtihani hataki! dailly namsikia akiongea na mabwana zake tu. sasa najiuliza nitumie mbinu gani kurudisha sim yangu. nawaza nachekecha nashindwa nianzie wapi ikizingatiwa mm ni baba wa familia japo wife ana muda amesafiri sasa ikija gundulia nilihonga sim si aibu hii!
Dai simu yako,wife akirudi ataiona halafu upate lawama bure,bora ungekua umeshakula papuchi ukalaumiwa na wewe umefaidi
 
Sio vibaya kusaidia. Lakini wanawake inabidi wawe wawazi kuwa wana shida na wanochihitaji ni msaada. Hii gia ya kukopa alafu wanakwepa kulipa sio ustaarabu.
Kuna dada niliwahi mkopesha laki mbili. Nikaona baada ya kumkopesha urafiki wetu unasua sua. Na kweli nilikuwa najua kuwa by that time hakuwa na income yoyote hivyo nikamwita nikamwambia kuwa ile hela nimemsamehe wala asihangaike kunilipa tena.
Ok umempa msamaha wa hela bure, hlf baada ya hapo?
 
Back
Top Bottom