Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Nimeshawahi kumdhamini mtu 80,000 hadi leo sijapata sijui wewe na hiyo laki tano yako..
 
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza[emoji3][emoji3][emoji3].
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
Dudu la yuyuuu
 
Ushauri wangu:
Mihemko ya kumla jizuie, mpe nafasi aonyeshe slitakalo kwako.
Kwa vile umemsaidia ukionyesha kumtaka kwa kasi utaumia uendako...

Ivi toka uanze kaz hapo je! Kuna ndugu yako alishawahi kukuomba pesa ukamtumia kulingana na mahtaj yake?
Jombaa umezingua sana na ujue hapo kuna msela anakula.
 
Back
Top Bottom