Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,

Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja, namkwara mkubwa mara ghafla nikaona mdada mdogo kabisa umri wa kuwa mdogo wangu mara kazamia lile chaka na MNYAMA HUU HAPA CHINI View attachment 613178View attachment 613179

Niseme ukweli nimejihisi baridi ghafla na huyu mdada anavyolipiga lesi hili dudu kanitia hasira sana, hatua ya kwanza lazima ni angalau niliendeshe kulimiki ni majaliwa ya Mungu..! Nimejihisi uchungu mkubwa sana.
Hiyo Hammer n i ya Masoud Kipanya wa Clouds FM, na alipaka hiyo rangi kwa sababu ya mapenzi yake kwa klabu ya Yanga.

Huo ni uongo, haiyo gari haimilikiwi na mwanamke, na ipo moja tu ya rangi hiyo hapa Bongo.

Njoo na stoy ingine
 
Maisha sio fair siku zote..Pole mkuu

Hebu fikiri. Kuna mtu leo leo kaandika humu kuwa analo hitaji la 700thou za kwenda kuondolewa utumbo umeharibika. Anategemewa na mtoto,mke na mama mzazi. Halafu ni kibarua. Hana akiba. Tunajua wazi kuwa mtaji wa kibarua ni kuamka asubuhi ufukuzane kwa miguu. Sasa hapa kuna mtu anakufuru kuwa Rav4 sio gari, kuna siku atalirurusha li Hummer. Dah! Huyu muumba alikosea wapi hapa?? Si angemnyang'anya huyu aso na shukrani aliuze ampe huy mhitaji wa 700thou na albaki ampe za kuitunza familia yake wakati wanamhudumia kitandani ili apone haraka?? Kweli Life is not fair at all.
 
Hiyo Hammer n i ya Masoud Kipanya wa Clouds FM, na alipaka hiyo rangi kwa sababu ya mapenzi yake kwa klabu ya Yanga.

Huo ni uongo, haiyo gari haimilikiwi na mwanamke, na ipo moja tu ya rangi hiyo hapa Bongo.

Njoo na stoy ingine
Najiuliza nini unajaribu kubisha sijakuelewa??? Ameongelewa aliyekuwa analiendesha au Huyo Masoud hawezi kuwa na mke au ndugu wa kuliendesha..!
 
Hebu fikiri. Kuna mtu leo leo kaandika humu kuwa analo hitaji la 700thou za kwenda kuondolewa utumbo umeharibika. Anategemewa na mtoto,mke na mama mzazi. Halafu ni kibarua. Hana akiba. Tunajua wazi kuwa mtaji wa kibarua ni kuamka asubuhi ufukuzane kwa miguu. Sasa hapa kuna mtu anakufuru kuwa Rav4 sio gari, kuna siku atalirurusha li Hummer. Dah! Huyu muumba alikosea wapi hapa?? Si angemnyang'anya huyu aso na shukrani aliuze ampe huy mhitaji wa 700thou na albaki ampe za kuitunza familia yake wakati wanamhudumia kitandani ili apone haraka?? Kweli Life is not fair at all.
Mkuu jifikirie wewe ya wengine yatakupasua kichwa boss..!! Dream big always!
 
The problem is not to dream, Hakuna mwenye ndoto nyingi kama maskini. Ila tumesema, Nature is not fair. Wadhani huyu mtu anayeomba msaada haoti ndoto?? Hata msaada alioomba nao ukienda leo atakueleza njozi atakazofanya endapo ataupata huo msaada. My cry here is; Nature, why are yu not fair??
 
Hiyo fair unayoililia ikiwepo ujue hakuna uhitaji tena, and everything it will be valueless and no more needs..!
 
Hebu fikiri. Kuna mtu leo leo kaandika humu kuwa analo hitaji la 700thou za kwenda kuondolewa utumbo umeharibika. Anategemewa na mtoto,mke na mama mzazi. Halafu ni kibarua. Hana akiba. Tunajua wazi kuwa mtaji wa kibarua ni kuamka asubuhi ufukuzane kwa miguu. Sasa hapa kuna mtu anakufuru kuwa Rav4 sio gari, kuna siku atalirurusha li Hummer. Dah! Huyu muumba alikosea wapi hapa?? Si angemnyang'anya huyu aso na shukrani aliuze ampe huy mhitaji wa 700thou na albaki ampe za kuitunza familia yake wakati wanamhudumia kitandani ili apone haraka?? Kweli Life is not fair at all.
ni kweli kabisa mkuu
 
It doesn't matter, the issue is limits are there whether you accept or not. If I asks why you are there and not where you wish,I don't think if you can give tangible answer away from the term limits.

I believe you were trying to ask me why I am here and not there where Dangote is, is'nt?
Every human beaing has a dream and to make it valid it all depend on you fortitude.
I can see you have set limitation of yourself how far you can go and that is tradegy
I feel sorry for you because you sound dead mentally, and its a just a physical existance
 
Hata ukitaka Rolls-Royce "Ghost" utapata ni wewe tu ukipambana na hali yako
Man's minds have no limit, only man himself limit it.
GO!!!!!!!!! and get it
Good u talk like a man ...though u are a lady

your are ten times a man than most men in Dar
 
mtoa mada
inaonesha wewe ni dereva wa kufuata watoto Feza Primary pale uwanja wa kawe... maana hiyo gari leo ilikuwa imepaki hapo feza ikisubiria mwanafunzi na wewe ni mmoja wa madereva wanaosubiri wanafunzi hapo Feza...

hata kesho mtu akienda feza ataikuta hiyo gari hapo....

saa zingine kuna watu waongo na wanapenda danganya
 
mtoa mada ni muongo sana afu hiyo hummer ni ile ya kipanya

gari lako lenyewe si rav4

uwe mkweli tu ndugu wewe ni dereva ulikuwa umeenda fata mtoto muda huo wa saa sita ila hiyo hummer imepaki hapo toka asubuhi.......
inaonesha wewe ndio ulisababisha foleni pale hiyo saa sita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom