Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,

Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja, namkwara mkubwa mara ghafla nikaona mdada mdogo kabisa umri wa kuwa mdogo wangu mara kazamia lile chaka na MNYAMA HUU HAPA CHINI View attachment 613178View attachment 613179

Niseme ukweli nimejihisi baridi ghafla na huyu mdada anavyolipiga lesi hili dudu kanitia hasira sana, hatua ya kwanza lazima ni angalau niliendeshe kulimiki ni majaliwa ya Mungu..! Nimejihisi uchungu mkubwa sana.
Huyo akijulikana mwezi wa tatu haifiki ataishi kama shetani
 
Acha kujipa stress rizika na ulichonacho huyo unayemwona kwenye Hammer nae anatamani awe na private jet ila hawei kuipata na mwenye private jet nae anatamani awe na kisiwa chake cha peke yake ila hawezi.
 
Sinafuu wewe hata unakijigar cha ndugu yako! mwenzio sina hata baskel! bado nalisongesha!! ila sijakataa tamaa!
Kweli mkuu tukaze jamaa yangu..! Dharau kubwa town bila gari mademu wanatudharau sana..!
 
mkuu sio kweli,wanazo wengi tu hapo mjini...hii hammer ya clara anakaa mbezi pwani huko karibu na bahari beach(mbezi pwani ni jina jipya tunalitumia tunaoishi ukanda wa bahari huku mbezi beach)mitaa ya sykes..
Ni mdada mwenye nayo eti???
 
Acha kujipa stress rizika na ulichonacho huyo unayemwona kwenye Hammer nae anatamani awe na private jet ila hawei kuipata na mwenye private jet nae anatamani awe na kisiwa chake cha peke yake ila hawezi.
Asante kwa kunitia moyo aisei..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom