Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,

Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja, namkwara mkubwa mara ghafla nikaona mdada mdogo kabisa umri wa kuwa mdogo wangu mara kazamia lile chaka na MNYAMA HUU HAPA CHINI View attachment 613178View attachment 613179

Niseme ukweli nimejihisi baridi ghafla na huyu mdada anavyolipiga lesi hili dudu kanitia hasira sana, hatua ya kwanza lazima ni angalau niliendeshe kulimiki ni majaliwa ya Mungu..! Nimejihisi uchungu mkubwa sana.
Weka malengo kisha kaza buti kuyafikia.Utafanikiwa.
 
Tamaa zilimfanya mshikaji fulani kuwa gay so chunga sana
 
Na yeye kaazima kama wew ngoma droo sema tuu mnatofautiana kile mlicho azima by the way weka nia u can,,,..
 
Mimi siku zote nasema ukitaka kumpatia mtoto wako zawadi nzuri sana basi kama una uwezo mhamishe akulie nje ya Tanzania ili awe na IQ nzuri na free mind! Sidhani hata elimu (kama akisomea Bongo) itasaidia sana kwani hata huyu mwanzisha thread pengine ni mhitimu wa chuo kikuu lakini upeo wake wa kuchanganua mambo ndio huu! Hilo gari ulinunua ili ushindane na watu kuwaonyesha ''umwamba'' wako? Kwanini ukiona mtu mwenye gari zuri/ la bei kuliko lako unyong'onyee? Hujiamini? Mimi nadhani binadamu unatakiwa kuwa na malengo na kujitahidi kuyafikia na si kufanya mashindano ya kijinga kama haya!

Kweli mkuu mimi huwa nasema sisi ni jamii inayo anza 'kukua' bado tupo chini ktk kuona na kutafsiri mambo bado ni 'washamba' wa vitu kwa ufupi sisi ni jamii inayojitafuta kwa mambo madogo

Sijatembea huko 'duniani' wala sina kiwango hicho cha elimu lkn haya yapo dhahiri ktk jamii yetu
 
MKUU MBONA SO ISHU SANA, NIKUJIPANGA TU NA KUPUNGUZA STAREHEE

KUNAI HII HAPA KAMA VIPI JIPANGE UKUSANYE DOLLAR 17, 763/= HIYO NIMPAKA BONGO

05.jpg

06.jpg

08.jpg

Specific information
VIN (Vehicle Identification Number) /Serial No.
ADMDN13E684422***
Full VIN/Serial No. will be shown on Proforma Invoice and Invoice
Model Code T345F
Registration Year / Month 2008
Mileage 107,000 km
Transmission Automatic
Engine Capacity (Displacement) 3,700cc
Fuel Gasoline/Petrol
BodyStyle1 Unspecified
BodyStyle2 -
Steering Unspecified
Exterior Color Other
Interior Color -
Drive Type -
Door -
Number of Seats -
Dimension 471cm×200cm×192cm=18.09m³
Condition Used
ID 2146423-832357
Remarks (Any Problems) -
Comment -
Expiry Date Nov / 27 / 2017 (JST)
 
Bora ungeandika kwa mapesa yetu ya mafafu pesa ya Trump inauma aisei..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom