Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Hii gari inasemekana ni ya Masoud Kipanya.

Hongera yake.

Na sisi tupambane na hali zetu
 
Mwanamke sio mtu wa kujifananisha nae kabisa boss
 
ndio mkuu na wala hata haioni hatari maana ana mipira ya moto zaidi ya huo,na hiyo ina miaka si chini ya mitano nyuma huko,huyu dada ni wa tabora...mjini alikuja tu baadae kwa ajili ya biashara...alishawahi kuwa mapokezi pale azikiwe CRDB...na alianzia ESCUDO tu,kipindi hicho anaishi mwenge mitaa ya hostel za chuo kikuu...saiv ni mtu mwingine kimaisha..
Huyu kweli hakuja mjini kushangaa maghorofa kama wakina sie
 
Hakika kila jambo linahitaji Kuwa na maono na mikakati ila yote katika yote vyote ni vyombo vya usafiri
 
Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,

Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja, namkwara mkubwa mara ghafla nikaona mdada mdogo kabisa umri wa kuwa mdogo wangu mara kazamia lile chaka na MNYAMA HUU HAPA CHINI View attachment 613178View attachment 613179

Niseme ukweli nimejihisi baridi ghafla na huyu mdada anavyolipiga lesi hili dudu kanitia hasira sana, hatua ya kwanza lazima ni angalau niliendeshe kulimiki ni majaliwa ya Mungu..! Nimejihisi uchungu mkubwa sana.
Hao muda mwingine wanalala mguu juu usiku mzima, tena muda mwingine na vichwa tofauti tofauti. Usipime
 
f2e963145312229a1ebacdca49f9b06d.jpg
 
Kaaah. Pambana na hali yako. Siku zote binadamu huwa tunaridhika kabala hatujaona cha juu yetu. Ukishakiona ndio unajua kua hali yako bado iko chiniii
 
Ukimuiga tembo kunya..utapasuka sehemu yako ya kutolea haja kubwa...
Kila la kheri ktk safari yako ya kutafuta hammer nawewe.....
 
Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,

Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja, namkwara mkubwa mara ghafla nikaona mdada mdogo kabisa umri wa kuwa mdogo wangu mara kazamia lile chaka na MNYAMA HUU HAPA CHINI View attachment 613178View attachment 613179

Niseme ukweli nimejihisi baridi ghafla na huyu mdada anavyolipiga lesi hili dudu kanitia hasira sana, hatua ya kwanza lazima ni angalau niliendeshe kulimiki ni majaliwa ya Mungu..! Nimejihisi uchungu mkubwa sana.
Hilo chimbo nimeshalijua kumbe ndio wewe

Nyagei
 
Kama hiyo rav 4 umeendesha bas mwambie huyo huyo ndg ako anunue mnyama uuendeshe pia
 
GARI NI YAKE AU YA NDUGU YAKE? JE UNAYAJUA MASAHBU ANAYOYAPATA MMILIKI WA HYO GARI

LAKN PIA MALI HUTAFUTWA, WEKA BIDII
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom