Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Ok. Unajifunza nini sasa.

Tamaaa mbele nyuma mauti.
 
Ni kupambana tu mkuu ila inahitaji umakini sana maanake Mungu hapendi mtu anayetafuta mafanikio kwa njia zisizo halali na pia anayetafta mafanikio ya haraka pia kwahiyo umakini unahitajika.

Ila umebugi sana kutaja jina la Mungu katika uovu "napatapata magoma mjini Mungu ni mwema", hapa umekosea sana!
 
Asante kwa marekebisho ila ujue sijaoa mkuu na sina mchumba..! Hivyo ni harakati tu za kusaka mke but siyo mzinzi kiivyo boss!
 
Kama ile ya manji Google utaipata ndo latest version
Poor you! Hamna toleo la range rover liitwalo g wagon! Kama hujui magari its better ukae kimya tu kuliko kujifanya mjuaji....yaani unafananisha mercedes benz g wagon na range rover which are two different manufacturers...
 
Kama ile ya manji Google utaipata ndo latest version
Halafu wewe si ndo nakuonaga kule kwenye mtandao flani iv unatafuta majimama yakuhonge,na email yako kabisa unaweka hyo hyo ya tajirimsomi[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,dah kwel serenget boy mna shida sana
 
Usijali sana mkuu mbona wote mnatembea mkiwa mmekaa!hapo tofauti ni body tu,jipe moyo..
 
Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,
.
Mimi siku zote nasema ukitaka kumpatia mtoto wako zawadi nzuri sana basi kama una uwezo mhamishe akulie nje ya Tanzania ili awe na IQ nzuri na free mind! Sidhani hata elimu (kama akisomea Bongo) itasaidia sana kwani hata huyu mwanzisha thread pengine ni mhitimu wa chuo kikuu lakini upeo wake wa kuchanganua mambo ndio huu! Hilo gari ulinunua ili ushindane na watu kuwaonyesha ''umwamba'' wako? Kwanini ukiona mtu mwenye gari zuri/ la bei kuliko lako unyong'onyee? Hujiamini? Mimi nadhani binadamu unatakiwa kuwa na malengo na kujitahidi kuyafikia na si kufanya mashindano ya kijinga kama haya!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…