mkuu ana mpunga mrefu sana,ana shule kibaha,then ana maroli mengi sana ya mizigo,pia ana kampuni ya mabango mengi ya umeme hapo mjini,likiwepo lile la pale usalama,yanayobadili picha kwa sekunde kadhaa...kifupi ana biashara nyingi ambazo ukiwanayo moja tu mtaani kwako hawatolala kwa kukuogopa..anafanya shughuli gani huyo clara hapo town?
Maisha sio fair siku zote..Pole mkuu
Principles of success, what are they?Life is always fair only some refused to partcipate into it
If you ask the world for a Shs, it will give you the Shs you asked, and it's the same if you asked billion dollar or Trillion Shs
Know what you want apply the principle of success then "sky is the limit"
Man's minds have no limit, only man himself limit it.
ndio mkuu na wala hata haioni hatari maana ana mipira ya moto zaidi ya huo,na hiyo ina miaka si chini ya mitano nyuma huko,huyu dada ni wa tabora...mjini alikuja tu baadae kwa ajili ya biashara...alishawahi kuwa mapokezi pale azikiwe CRDB...na alianzia ESCUDO tu,kipindi hicho anaishi mwenge mitaa ya hostel za chuo kikuu...saiv ni mtu mwingine kimaisha..Ni mdada mwenye nayo eti???
Huyo mdada ustadhi fulani eti???mkuu ana mpunga mrefu sana,ana shule kibaha,then ana maroli mengi sana ya mizigo,pia ana kampuni ya mabango mengi ya umeme hapo mjini,likiwepo lile la pale usalama,yanayobadili picha kwa sekunde kadhaa...kifupi ana biashara nyingi ambazo ukiwanayo moja tu mtaani kwako hawatolala kwa kukuogopa..
But goat eats as per length of its rope...Nothing is impossible before a man, If put a mind & focus into it
I don't believe inLife is always fair only some refused to partcipate into it
If you ask the world for a Shs, it will give you the Shs you asked, and it's the same if you asked billion dollar or Trillion Shs
Know what you want apply the principle of success then "sky is the limit"
Man's minds have no limit, only man himself limit it.
mkuu sio kweli,wanazo wengi tu hapo mjini...hii hammer ya clara anakaa mbezi pwani huko karibu na bahari beach(mbezi pwani ni jina jipya tunalitumia tunaoishi ukanda wa bahari huku mbezi beach)mitaa ya sykes..
But goat eats as per length of its rope...
Truth be told.