Even the bible doesnt agree with this...
Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,
Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja, namkwara mkubwa mara ghafla nikaona mdada mdogo kabisa umri wa kuwa mdogo wangu mara kazamia lile chaka na MNYAMA HUU HAPA CHINIView attachment 613178View attachment 613179
Niseme ukweli nimejihisi baridi ghafla na huyu mdada anavyolipiga lesi hili dudu kanitia hasira sana, hatua ya kwanza lazima ni angalau niliendeshe kulimiki ni majaliwa ya Mungu..! Nimejihisi uchungu mkubwa sana.
Kawe tena!!!!!,,;,,,,?Mitaa ya huko ukipita kawe huko mbelembele..!
mara paaap umekuwa pacha wangu amaWadada oyee..hongera kwenu
Toa sababu Mkuu.pambana na hali yako MSEMO SIUPENDI HUU
Huhuhuhuh..! Kumbe jina lako halisadifu undani wakoHata mm Leo wakati naenda kazini nimepanda Costa sijapata seat nikiwa nimeshikilia bomba tulipofika mataa gari ikasimama pembeni ikapaki range rover g wagon i kiwa na kadada ambaye umri Hawez zidi miaka 25 asee nimejidharau sana


kumbe ata miye naweza kunyang'anya demu...! 

pole jamaa yangu utani ila inauma sana sometime mtu huwezi kumiliki ata IST..


Kumbe KP ni m'baya kiasi hicho?Hutaki acha! gari ya Kp hiyo!
Mmmhhh!
Ahahah hamna shida ndugu fresh pamojamara paaap umekuwa pacha wangu ama
Hahaha linasadifu ila sijawai miliki range mkuu ist Siwezi endesha napenda magar marefu m daladala napanda mara moja moja mkuuHuhuhuhuh..! Kumbe jina lako halisadifu undani wakokumbe ata miye naweza kunyang'anya demu...!
pole jamaa yangu utani ila inauma sana sometime mtu huwezi kumiliki ata IST..
![]()
We unamiliki gari gani mkuuOkay! Poah..
Cha muhimu wote tunakula AC mkuuhalafu unakuta kuna mtu haoni hata aibu gari kama hiyo imepark sehemu naye anaenda kuegesha pembeni ki gari chake PASSO. watu wameumbwa bila mishipa ya aibu kabisa.