Leo nimekereka sana

Leo nimekereka sana

Suala sio kujadili tu, bali kujadili hoja husika kulingana na muktadha wa jukwaa la MMU.
Kukereka kwamba wewe Kungwi Lao umeambiwa Uganda sio nje ya nchi inahusiana vipi na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki aka MMU...
Yet I fail to understand dude...!!!
huyu sio kungwi lao bana!the lady has brains!hawezi kuwa ni yeye!
 
Suala sio kujadili tu, bali kujadili hoja husika kulingana na muktadha wa jukwaa la MMU.
Kukereka kwamba wewe Kungwi Lao umeambiwa Uganda sio nje ya nchi inahusiana vipi na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki aka MMU...
Yet I fail to understand dude...!!!
Nadhani jamaa anaongelea urafiki , ambao hata hapa jukwaani unakubalika sijaona kosa lake. Lbd nami ni short sighted , ni mtazamo tu
 
kuna watu humu wanaifanya jamiiforums kama mali ya baba yao. ukitofautiana nao tu kimtazamo wanakusakama
 
Kungwi lao kakuruhusu uchukue alichokisema fb ukilete huku??onyesha aknowledgemnt basi!!
 
Back
Top Bottom