Leo nimekereka sana

Leo nimekereka sana

Ray M

Senior Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
182
Reaction score
61
KUNA KITU KIMENIKERA SANA, NILIKUWA NJE YA NCHI. UGANDA KWA SIKU TATU,,, NIKAWA NIMEMWAMBIA RAFIKI WA FACE BOOK, INBOX KWAMBA KWA SASA HIVI NIKO NJE YA NCHI NDIO MAANA NILISHINDWA KUKUJIBU MSG YAKO.. AKANIAMBIA HIVI, UGANDA NAPO NI NJE YA NCHI? KIMENIKERA SANA.
Maongezi yetu yalikuwa hivi.
Rafiki,,,,Hi Kungwi,,,
Kungwi,,,,Hi.
Rafiki,,,, kungwi mbona kimya hivyo hujibu msg unanichunia eee!
... Kungwi,,, Hapana sichuni niko nje ya nchi mambo mengi pole.
Rafiki,,,,, Dah! unasafiri hatuambiani,, haya niambie uko wapi kungwi langu?
Kungwi,,, ha ha ha, sijauchuna bana.. niko tu, Niko Uganda.
Rafiki,,,,,,, ha ha ha ha ha ha ha ha , mbavu zangu kungwi.
Kungwi,,,, kwa nini unacheka ?
Rafiki,,,,, kungwi uganda nako ni nje ya nchi? usiseme kwanguvu utachekwa.
Kungwi,,,, heee, ndio umenicheka hivyo?
Rafiki,,,, Kkungwi uganda sio nje ya nchi bana,, mimi nilijua uko zako mantoni, nikuombe ulele zawadi.
Kungwi,,,,, Bye.
Rafiki,,, kungi mbona kama umemind
Rafiki,,,, usimind ila usijaribu kusema uganda ni nje ya nchi.
Rafiki,,,,, kungwi, usikasirike please.

NILICHUKIA.

[/B]
 
hadith yako inatufundisha nini......?

hivi ulishapata wa kuzaa nae@Ray M
 
hadith yako inatufundisha nini......?

hivi ulishapata wa kuzaa nae@Ray M

Walijitokeza saba nikawachuja na sasa wamebakia watatu. najaribu kuwafahamu zaidi kabla sijaamua wa kuzaa naye
 
kwahiyo Uganda ni magomeni? wabongo bwana, kungwi Uganda unafikiaga wapi? nami naendaga sana pande zile
 
kwahiyo Uganda ni magomeni? wabongo bwana, kungwi Uganda unafikiaga wapi? nami naendaga sana pande zile

wabongo si unajua wanapenda kukariri vitu
 
JamiiForums is a 'User Generated Content' site...unataka tujadili jambo gani sasa??

kama hujaona cha kujadili wapo wanaokiona. siyo lazima kila post uchangie
 
kama hujaona cha kujadili wapo wanaokiona. siyo lazima kila post uchangie

Suala sio kujadili tu, bali kujadili hoja husika kulingana na muktadha wa jukwaa la MMU.
Kukereka kwamba wewe Kungwi Lao umeambiwa Uganda sio nje ya nchi inahusiana vipi na Mahusiano, Mapenzi na Urafiki aka MMU...
Yet I fail to understand dude...!!!
 
hili ni jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki. hii hoja inagusa mahusiano na urafiki.. labda ungependekeza ipelekwe jukwaa lipi? inabidi ukikosoa utoe na solution siyo unalalamika tu
 
Back
Top Bottom