Leo nimekereka sana

Leo nimekereka sana

Usichukie, mwenzio hayuko serious, anafanya mzaha halafu wewe unachukia.
Uganda ni nchi jirani bwana!
Hahahahahah, watakucheka watu.
 
hili ni jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki. hii hoja inagusa mahusiano na urafiki.. labda ungependekeza ipelekwe jukwaa lipi? inabidi ukikosoa utoe na solution siyo unalalamika tu

Hahaha hivi kumbe unadhani ninalalamika eenh...umekosea mkuu ulikuwa ni ushauri tu kwa njia ya kukudadisi na ndio maana nilianza na kukuuliza swali.
Binafsi nadhani ungepeleka hata Hoja Mchanganyiko ingekuwa na maana zaidi.
Katika taarifa yako kuna vitu vinajadilika lakini kila nikifikiria kufanya hivyo ninaona vitakiuka maudhui ya Jukwaa.
 
sawa kaka. samahani kama nimekukwaza
 
Yani we upo overseas kabisa afu mtu mwingine analeta mchezo! Bustard !
 
Kungwiii?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hata mimi niko Mtukula upande wa Uganda si niko nje ya nchi au?? Potezea lakini wewe mwenyewe si unajua mambo yako vizuri unakula matoke kila aina ya mapishi
 
huku ni kukosa kazi... unaenda ku copy mambo ya mtu fb na kuja kuleta hapa..

Fanya ishu zako bana.. kaa
 
hahaha, yes Uganda ni nje ya nchi.

Kama anaishi Tanzania halafu anaenda uganda, basi mtu tunasema yupo nje ya nchi.
Aende Malawi, Kenya , Zambia Uganda ama Burudi tunasema yupo nje ya nchi.
Ila yupo ndani ya africa.

Huyo hajajifunza geografi, anafikiri nje ya nchi ni ulaya or amerika.

Kuna wazungu ambao hawakusoma wanasema ukitoka germany ukienda uingereza
wao hawaoni kama umeenda nje ya nchi, ila ukienda Japan afrika ndio wanaona umeenda nje ya nchi.
Binadam bana
 
Back
Top Bottom