Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,722
- 16,068
- Thread starter
- #21
Ila kwanini apite mlango usio sahihi🙆♂️🙆♂️
Nimelia sana.
napata bruto😁Mkuu wangu ,kama upo bar tafadhali rudi kwanza nyumbani ukatulie.
Ila kwanini apite mlango usio sahihi🙆♂️🙆♂️
Nimelia sana.
napata bruto😁Mkuu wangu ,kama upo bar tafadhali rudi kwanza nyumbani ukatulie.
bruto nikichanganya na k vant inasaidia kidogo kwa afya?unaweza kuishi na mwanamke kwa wema sana tena muda mwingine unajitahidi kutoa msaada wa hali na mali ,ukiingia utaona anakuchekea chekea na kukuonesha tabasamu la kinafiki, lakini jamii kwa nje inakuona hivi ..1..wewe ni mwanaume katili huwa unamnyanyasa, na kumpiga kila siku. 2..mchoyo wa chakula, unamnyima chakula , akipika chakula unakula chote pekeyako. ............... 4. hujawahi kumnunulia nguo yeye na mtoto , ndio maana anavaa nguo moja iliyochoka😁....na hayo ni machache tu ambayo mwanamke anaweza kukuongelea kwenye jamii bila ya wewe kufahamu...
Itakua ilitekeza tu ikajikwaaIla kwanini apite mlango usio sahihi🙆♂️🙆♂️
Nimelia sana.
😂😂😂😂😂😂Dogo acha ubandidu, mhudumie mkeo. 😁
Wewe mdada si ndiyo unawaitaga mafurushi.Ila kwanini apite mlango usio sahihi🙆♂️🙆♂️
Nimelia sana.
🤣🤣🤣🤣🤣Komaa na misha zako tu , tumiza majukumu yako achana na ngonjera zake hazina faida yoyote kwako ukizifuatilia
Ndio ndio.Wewe mdada si ndiyo unawaitaga mafurushi.
Maana yake ni nini Mkuu? 😃Ukijua maana ya jina lake, basi utajua hiyo ni Chai
Wake zetu sio wabaya hivi tunavyojaribu kuwapakaza,na ukiona hivi ujue kuna shida kwa wanaume piaUnaweza kuishi na mwanamke kwa wema sana tena muda mwingine unajitahidi kutoa msaada wa hali na mali, ukiingia utaona anakuchekea chekea na kukuonesha tabasamu la kinafiki, lakini jamii kwa nje inakuona hivi
1. Wewe ni mwanaume katili huwa unamnyanyasa, na kumpiga kila siku.
2. Mchoyo wa chakula, unamnyima chakula, akipika chakula unakula chote pekeyako.
3. Hujawahi kumnunulia nguo yeye na mtoto, ndio maana anavaa nguo moja iliyochoka😁....na hayo ni machache tu ambayo mwanamke anaweza kukuongelea kwenye jamii bila ya wewe kufahamu...