Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,035
- 4,418
Kwamba kuna wanandoa wanagombania chakula?
Kwamba unakula chote yeye unamnyima?
Tangu nizaliwe sijawahi sikia kitu kama hiki.
Ndugu yangu kama familia yako inaona chakula ni big deal, basi kuna mahala umefeli.
Dawa ya mtoto aliedokoa samaki si kumpiga, bali nikumletea viroba vya samaki ale mpaka akinai. Nakuhakikishia hatadokoa tena.
Mpaka hapo unajua cha kufanya.