APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,057
- 11,917
Mi ningetoamo 3000 ya ugali samaki mchana ili abakimo na 4800😁😁😁😁Mtoto mrembo kama wewe halafu baharia anatoa 7800

Yes.Kwani upo mwanza siku hizi?
Karibu sana kwetu ndo tunavyoongea kigumugumuKwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania
Muda wa jioni nimerudi Tarime mjini,ila sijaona mapanga ila watu wa huku wanaongea kama wanagombeza
Lile bango sasa umeingia Mara sijafanikiwa kuliona,wanaolijua lilipo mje miambie ili kesho kutwa wakati narudi nije nilitafute
Kesho naenda Nyamongo ,waliopo nyamongo njoo pm tukutane mninunulie supu.
Umeenda kuangalia mazingira ya wapi uweke kaz yako uliyotarajia kurithishwa na babu?Kwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania
Muda wa jioni nimerudi Tarime mjini,ila sijaona mapanga ila watu wa huku wanaongea kama wanagombeza
Lile bango sasa umeingia Mara sijafanikiwa kuliona,wanaolijua lilipo mje miambie ili kesho kutwa wakati narudi nije nilitafute
Kesho naenda Nyamongo ,waliopo nyamongo njoo pm tukutane mninunulie supu.
Dah,Mzee hapo kila ijumaa hua npo club signature nakula maisha.....We utakuwa muhudumu we si bure hivi vitu size yetu
mkuu ukumbuke kuvaa sweta lako la Tanzania au huko hamna baridi
I just jokingDah,Mzee hapo kila ijumaa hua npo club signature nakula maisha.....
But hata nikiwa mhudumu mzuqa 2 bob!
Weka basi hata picha yako ukiwa umetupia lile sweta...
Kwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania
Muda wa jioni nimerudi Tarime mjini,ila sijaona mapanga ila watu wa huku wanaongea kama wanagombeza
Lile bango sasa umeingia Mara sijafanikiwa kuliona,wanaolijua lilipo mje miambie ili kesho kutwa wakati narudi nije nilitafute
Kesho naenda Nyamongo ,waliopo nyamongo njoo pm tukutane mninunulie supu.
Huko unampelekea nani K? Hivi ile 7,800 ilikutosha?Kwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania