Asante kwa ukarimu wakoDah una bahati mbaya sana nimeondoka Nyamongo hapo Jioni nimesafiri
But hopefully uta-enjoy sana ungeweza ungeenda hadi mto Mara,
usijali supu zipo kwa wingi mno, muulize mtu akuoneshe MGAHAWA WA MAMA FRANK,
na kwa nyama choma na kichure
muulize mtu yeyote akuoneshe
kwa TOM NYAMA CHOMA
utaona soko la dhahabu,
utaona ukarimu wa wakurya
nambie unachotaka kuona coz naamini utakuwa Balozi mzuri sana kuhusu mkoa wa Mara!
Hahaha,wamesema nipande coasta
We utakuwa muhudumu we si bure hivi vitu size yetuUsiondoke tarime bila kutembelea KIFA best point hotel na club signature hapo.
Mkuu si tuonane kama inawezekanaHahaha...! Njoo hapa chini Rosonti upigwe mande.
Uliza tu utafika hili eneoZipo wapi mkuu,Tarime mjini,Sirari au Nyamongo
Ukirudi Mwanza, nijulisheKwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania
Muda wa jioni nimerudi Tarime mjini,ila sijaona mapanga ila watu wa huku wanaongea kama wanagombeza
Lile bango sasa umeingia Mara sijafanikiwa kuliona,wanaolijua lilipo mje miambie ili kesho kutwa wakati narudi nije nilitafute
Kesho naenda Nyamongo ,waliopo nyamongo njoo pm tukutane mninunulie supu.