Leo nimefanikiwa kufika Tarime Mara

Leo nimefanikiwa kufika Tarime Mara

Cutlove umerudi kwa kasi, raha jipe mwenyewe achana na yule mjinga wa dar, siku ukitembelea pande hizi za mbamba bay bill zote kwangu, japo unaweza usinione kutunza heshima.
 
Halafu nina hamu ya kutembelea nyanda za juu kusini
 
Kwa mara ya kwanza nimekanyaga ardhi ya Mara,nimefika Tarime nikaenda mpaka boda pale Sirari,nikaingia upande wa pili cha kushangaza upande wa Kenya una majengo mazuri na mengi kuliko huku Tanzania

Muda wa jioni nimerudi Tarime mjini,ila sijaona mapanga ila watu wa huku wanaongea kama wanagombeza

Lile bango sasa umeingia Mara sijafanikiwa kuliona,wanaolijua lilipo mje miambie ili kesho kutwa wakati narudi nije nilitafute

Kesho naenda Nyamongo ,waliopo nyamongo njoo pm tukutane mninunulie supu.
Hahaha...! Njoo hapa chini Rosonti upigwe mande.
 
Jitahidi ufike mgodini basi...
Karibu sana sana ABGM.....
 
Ndio raha ya miaka yote ya JF...

Back in the days we used to call some of the forums here as "stress free zone", JF photo ni mojawapo
Nilijua comment ya aina hii lazima nitakutana nayo
 
Hahaaaa kuna siku nliwahi kwenda nyamongo natoka tarime mjini tulkaaa watu kama wa5 hafu tena dereva anasema gali iko tupuu bado Haijajaa hyo ni proo box
Nyamongo ndio nyumbani nachati from Kwinogo karibu kwetu. Ila nakuhurumia utakavyobanana kwenye probox.
 
Back
Top Bottom