Leo nimeaibika kwenye tendo

Leo nimeaibika kwenye tendo

Nisaidie bro nipo serious
Anza kula hivi kila siku
1000041865.jpg
 
kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu ,

Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa nikakaa kama nusu saa ikawa fresh tena ila Sasa kwenye bao la pili sikumwaga mpaka pumzi ikaniishia na mashine ikasinyaa Tena

Nipeni ushauri Cha kufanya maana tangu nianze hizi harakati ni siku mmoja tu nilishawahi kumaliza bao la pili mbali na hapo uwa naishia lakwanza
ongea na dronedrake akufute kwenye kitabu cha nyero
 
kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu ,

Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa nikakaa kama nusu saa ikawa fresh tena ila Sasa kwenye bao la pili sikumwaga mpaka pumzi ikaniishia na mashine ikasinyaa Tena

Nipeni ushauri Cha kufanya maana tangu nianze hizi harakati ni siku mmoja tu nilishawahi kumaliza bao la pili mbali na hapo uwa naishia lakwanza
Dogo mjinga usipoangalia saikolojia Yako itaharibika , tendo ni wote wawili mshirikiane.
 
kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu ,

Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa nikakaa kama nusu saa ikawa fresh tena ila Sasa kwenye bao la pili sikumwaga mpaka pumzi ikaniishia na mashine ikasinyaa Tena

Nipeni ushauri Cha kufanya maana tangu nianze hizi harakati ni siku mmoja tu nilishawahi kumaliza bao la pili mbali na hapo uwa naishia lakwanza

Lengo la kumaliza ni Nini? Shida Iko hapo kwenye kutosimama kwa nusu saa, ila kwa Nini unamsaliti ndugu Sheria mkononi?
 
kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu ,

Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa nikakaa kama nusu saa ikawa fresh tena ila Sasa kwenye bao la pili sikumwaga mpaka pumzi ikaniishia na mashine ikasinyaa Tena

Nipeni ushauri Cha kufanya maana tangu nianze hizi harakati ni siku mmoja tu nilishawahi kumaliza bao la pili mbali na hapo uwa naishia lakwanza
Acha nyeto,Acha kuangalia pornography ,kula ndizi mbovu,kula karanga mbichi, weka saikologia vizuri.
Raha ya mechi bao.
 
Kunywa maji ya betri, yaliyochanganywa na mafuta ya mawese pamoja na kipande cha muhogo,yaani utapiga shoo ijumaaa mpaka jumatatu na haina side effects.
 
Back
Top Bottom