Leo nimeaibika kwenye tendo

Leo nimeaibika kwenye tendo

kifupi ipo hivi niliachana na demu wangu last year nikawa ni mtu wa nyero na kununua madanga, hivi karibuni nimepata demu ,

Leo nilikua nae kwenye show baada ya bao la kwanza mashine ikasinyaa nikakaa kama nusu saa ikawa fresh tena ila Sasa kwenye bao la pili sikumwaga mpaka pumzi ikaniishia na mashine ikasinyaa Tena

Nipeni ushauri Cha kufanya maana tangu nianze hizi harakati ni siku mmoja tu nilishawahi kumaliza bao la pili mbali na hapo uwa naishia lakwanza
Kula sana viinilishe kama karanga,korosho ,Nyanya,tangawizi,mdalasini,maparachichi, ndizi mbivu nk!
 
Back
Top Bottom