Leo nikiwa nimechoka

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,671
8,672
Leo nikiwa nimechoka zangu nikajiamulia kupiga simu police.

Mimi. Hellow Afande niko hapa naona watu kibao wamekufa na wamefukiwa mchanga..

Afande. Tuambie mkuu mahali ulipo tuje sasa hivi..

Mimi. Nipo hapa makaburini.....

:D:D:D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom