masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,825
- 16,903
- Thread starter
- #81
Ngoja nizifute ili uridhike.
mwanaume asusi wewe UTACHEKWA KOMAA MPAKA SAA 11
Ngoja nizifute ili uridhike.
Hakuna tatizo tena mdogo wangu...
Tunajiandaa kwenda kwenye mnuso...karibu sana!
am sor
thanx
njoo pm sijatoka tangu asubuhi ZAIDI YA KWENDA DUKANI KUNUNUA VOCHA
asante sungura mjanja
pia wewe rafiki yangu sisi si watani bwana ku,be tumezaliwa MWEZI MMOJA NA TAREHE MOJA
usije ukafanya point of wikinesi ENDELEA KUTAFUTA MCHUMBA
mwanaume asusi wewe UTACHEKWA KOMAA MPAKA SAA 11
hongera sana masai dada wapi yule nguin wako Kiranga aje huko akubusu japo.
sawaUsiwe na hofu, mwaliko wa Bibi hauna haja ya PM...anakaribisha wajukuu wote!
Hahahaaa,,mi hata sio mjanja!Alafu masai dada mbona utafiti kasema unatimiza 16yrs?Tutakuvua hilo taji la miss naniii?.#Lundenga kachakachua?
SAWA MIMI NAENDELEA SIKATI TAMAA japo kuwa wakati mwingine inakatisha tamaa kwa kweli .Nikianza kufikiria huwa nachoka zaidi maana nahitaji kumpata wa aina hii anajitokeza n wa aina hii na si unajua tena upweke ulivyo mbaya lakini najua yote haya yana mwisho.NAKUTAKIA KILA LA HERI KATIKA SHEREHE UNAYOSHEREKEA SIKU YA LEO.
hahahahah wakati kushinda inatakiwa below 15 looh
Nina wasiwasi huyu atakuwa wa kiume!!Alafu walishaanzisha uzi wao wa watoto sijui umeishia wapi?!! masai dada keki wapi??
Siku ilee ulisema una 14!!Hongera sana,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na mafanikio tele!
yaani nina mafua sijui ni kisudi la mungu ili nibaki ndani maana nilisha arrange malo
ocation kibao leo
NINA MSHUKURU MUNGU SANA KWA KUFIKA MIAKA KAZAA
ILA NINA MAFUA SANA MPAKA NAHIS HOMA
Kiranga niitie Mzizimkavu
nahitaji nipone haraka niombeeni
mambo yangu hayaendi maana mimi ndo stelingi yaani