Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Waooooo hongeraa
Jifunze kumention kama hiviu, masai dada

Dina na mimi leo ni siku yangu ya kuzaliwa nilitaka kufungua uzi kuwafahamisha wana JF lakini kila niki SUBMIT maneno yote yanafutika na uzi hautokei humu .Basi naomba unifungulie uzi unao sema Happy Birtday SAYANSIKIMU maana nashangaa tangia asubuhi hakuna aliyenifungulia uzi wakati nimetoa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Leo siyo siku yako ya kuzaliwa, leo unasherehekea tarehe yako ya kuzaliwa. Ulizaliwa "miaka kadhaa iliyopita". Na siku hiyo kama leo sidhani kama pia ilikuwa Jumapili.

Seherehe ya "siku" yako kuzaliwa inakuja kila wiki na "tarehe" na "mwezi" inayofanana na ulipozaliwa ndiyo inakuja kila mwaka kwa wengi, na kwa wengine wachache huwa ni mara moja kila miaka minne.

Happy Birth Date.

hahhaha haya mama
Asprin alikupa Utafiti

nikamwambia anaijua na kuipenda siasa kwa moyo???
je anaweza kuchambua vitu kwa kina
akakaa kimya na kumngangania miss neddy

much thanx mamii ila pia nina mafua sana
 
hahahahahaha masaidada ndo umeniingiza chaka eeeeeh thanks

utafiti kanamba niweke alafu nikakurupuka ile naweka okey
NIKAKUMBUKA LOOH
am sor maa kuna ice cream hapa siwez kula kwa sababu ya flue njoo
 
Una share na mwenye jamiii???????????????

Thread zikiwa nyingi wengine ambao tumejiunga hivi karibuni huwa tunazuiwa kuanzisha mada au uzi kama leo nimezuiwa kabisa lakini zikiwa chache kwa siku tunaruhusiwa kuanzisha mada .Sasa wakipunguza punguza ku post mada kama hizi na sie tunapata nafasi ya kuanzisha mada.leo nimefungiwa kabisa.
 
Pole kwa mafua masai dada na hongera kwa kutimiza 16yrs
 
Last edited by a moderator:
utafiti kanamba niweke alafu nikakurupuka ile naweka okey
NIKAKUMBUKA LOOH
am sor maa kuna ice cream hapa siwez kula kwa sababu ya flue njoo

utafiti njoo uthibitishe haya afu sidanganyiki kwa ice cream lol
 
Last edited by a moderator:
Sasa kila mtu siku yake yakuzaliwa ikifika akianzisha uzi si tutaishia kujaza server za JF bure.Wakuu hebu tuzionee huruma server za JF Kwa kuanzisha maada muhimu na zenye tija

Dina na mimi leo ni siku yangu ya kuzaliwa nilitaka kufungua uzi kuwafahamisha wana JF lakini kila niki SUBMIT maneno yote yanafutika na uzi hautokei humu .Basi naomba unifungulie uzi unao sema Happy Birtday SAYANSIKIMU maana nashangaa tangia asubuhi hakuna aliyenifungulia uzi wakati nimetoa taarifa.

Hizo message zako mbona zinajichanganya? SAYANSIKIMU wewe ni mwanaume au ni wakiume?Wanaume hawalii lii hivi bwana??Alafu wanaume wanasimamia maamuzi yao,ushasema je kila mtu akiweka bandiko lake la siku ya kuzaliwa si tutajaza server za JF,,then unaomba Dinazarde akufungulie uzi wa birthday!!
 
hahahah tangoa asubuhi ujaanszishiwa looh nilisha kwambia
 
Hizo message zako mbona zinajichanganya? SAYANSIKIMU wewe ni mwanaume au ni wakiume?Wanaume hawalii lii hivi bwana??Alafu wanaume wanasimamia maamuzi yao,ushasema je kila mtu akiweka bandiko lake la siku ya kuzaliwa si tutajaza server za JF,,then unaomba Dinazarde akufungulie uzi wa birthday!!

Yaan hajuii kama anajaza comment naomba apunguzeee kuwekaa post zake humuu maana zinajaa mnooo
 
Last edited by a moderator:
Dina na mimi leo ni siku yangu ya kuzaliwa nilitaka kufungua uzi kuwafahamisha wana JF lakini kila niki SUBMIT maneno yote yanafutika na uzi hautokei humu .Basi naomba unifungulie uzi unao sema Happy Birtday SAYANSIKIMU maana nashangaa tangia asubuhi hakuna aliyenifungulia uzi wakati nimetoa taarifa.

Ntakuanzishiaa 2030 usijalii

Thread zikiwa nyingi wengine ambao tumejiunga hivi karibuni huwa tunazuiwa kuanzisha mada au uzi kama leo nimezuiwa kabisa lakini zikiwa chache kwa siku tunaruhusiwa kuanzisha mada .Sasa wakipunguza punguza ku post mada kama hizi na sie tunapata nafasi ya kuanzisha mada.leo nimefungiwa kabisa.

We hayo hayakuhusu unaingilia kazi ya wenye jamiii we huzuiwi kuanzisha thread na mtu anzishaaaa
 
Back
Top Bottom