Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

title:SAYANSIKIMU MBAHILI
mainbody;anataka watoto wa mujini lakini hela hatoi hii imejidhiirisha wazi leo hadi server ya jf anabana

Hela hatoiii hahhhhhaaaaaa alikukopaa niniii
 
Hizo message zako mbona zinajichanganya? SAYANSIKIMU wewe ni mwanaume au ni wakiume?Wanaume hawalii lii hivi bwana??Alafu wanaume wanasimamia maamuzi yao,ushasema je kila mtu akiweka bandiko lake la siku ya kuzaliwa si tutajaza server za JF,,then unaomba Dinazarde akufungulie uzi wa birthday!!

yaani hapo nilikosa cha kumjibu huyu jama
 
Last edited by a moderator:
Love u too shosti....happy birthday na pole sana kwa kuumwa mola atakujaalia utapona usijali
 
Happy born day masai dada wish u all the best in your life.
 
Last edited by a moderator:
BASI YAISHE HAPPY BIRTHDAY masai dada .NB. Lakini leo na mimi nasherekea siku yangu ya kuzaliwa .Basi pasipo kinyongo nakutakia maisha marefu yenye amani na baraka tele .HAPPY BIRTHDAY masai dada

pia wewe rafiki yangu sisi si watani bwana ku,be tumezaliwa MWEZI MMOJA NA TAREHE MOJA

usije ukafanya point of wikinesi ENDELEA KUTAFUTA MCHUMBA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom