Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

asante sana dada

mzizi mkavu hajatuwekea kitu kingine
ile ya nyayo za kuzimu naiogopa sijawahi isoma wewe umeisoma?

Nyayo za kuzimu? Mbona sijaiona?? Sasa hivi nafuatilia WAKILI WA MOYO
 
happy birthday masai dada ungekua karibu ningekupa laiseri moja ya loshoro baridii nimetengeneza tangu juz.
 
Back
Top Bottom