Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Poleee mtoto,,kumbe!!Ndio maana utafiti akawa anasema tuifanye kesho,,sasa hapa ni kumuomba mkuu wa kaya atangaze poo kwa siku ya kesho

Me nililiona hili sungura1980, mmoja atangaze mapumziko kesho kwa niamba ya mkuu wa kaya...tunaishu muhimu
 
Last edited by a moderator:
mm huwa nashindwa kuelewa unasherekea siku ambayo hujui ilikuwa au unasherekea kuja uchi duniani
 
mm huwa nashindwa kuelewa unasherekea siku ambayo hujui ilikuwa au unasherekea kuja uchi duniani

hilo swali au jibu???
jaribu kuandika taratibu na kufata kanuni za uandishi.
 
Back
Top Bottom