FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
- #21
Kauli mbiu ya mwaka huu:
Miaka 15 baada ya BEIJING.[/QUOTE]
Miaka 15 imefanya nini mpendwa ?
Kauli mbiu ya mwaka huu:
Miaka 15 baada ya BEIJING.[/QUOTE]
Miaka 15 imefanya nini mpendwa ?
inakuwaje Viki kamata kila anapoenda kuzindua JK na yeye lazima akatumbuize?????? fl1 naomba jibu!!
The thing ni kwamba wanaimba bila kucheza...nani atataka!hahaha Magezi mie nitajuaje labda mama Salma atujibu kwenye hili...inawezekana kina Jeydee nyimbo zao ziko tofauti na za Vicky?? mie sijui!
The thing ni kwamba wanaimba bila kucheza...nani atataka!
hahaha Magezi mie nitajuaje labda mama Salma atujibu kwenye hili...inawezekana kina Jeydee nyimbo zao ziko tofauti na za Vicky?? mie sijui!
hahaha PJ umenifumbua macho Jaydee kiuno chake kigumu sana hakizunguruki wakati anaimba lakini mwenzie anazungusha kama feni
Je malengo ya beijing yemetimia? tunapima kama;Kauli mbiu ya mwaka huu:
Miaka 15 baada ya BEIJING.[/QUOTE]
Miaka 15 imefanya nini mpendwa ?
wanaume nao wanaosha vyombo,wanafua,wanapika nkTuna rais,mawaziri,CEO's wanawake?
tuna maprof na dks wanawake?
Wanawake wanaendelea kupigwa na waume zao? au nao wanapigwa.
.................................
Wanawake ndio huwa wanampa kura nyingi zaidi.kuelekea October kampeni zimeshaanza kinyemelaSiamini kama JK amekuwa mgeni rasmi wa siku ya wanawake Tz!
Anamzidi RAY C??
Hongera sana kina mama wenzangu kwa siku hii ..tupendane, tuwapende waume na watoto wetu tuwasaidie yatima na wote wasiojiweza na kuhitaji msaada wetu tuzidishe umoja na mshikamo ,.......
Kina baba tunaomba sana suport kutoka kwenu kwani mwanamke ana haki ya kupendwa na kuthaminiwa ..
Nawatakia sikukuu njema sana
NB; dedication song wanawake na maendeleo by Vicky kamata
FL1
Yes FL1,Hongera sana kina mama wenzangu kwa siku hii ..tupendane, tuwapende waume na watoto wetu tuwasaidie yatima na wote wasiojiweza na kuhitaji msaada wetu tuzidishe umoja na mshikamo ,.......
Kina baba tunaomba sana suport kutoka kwenu kwani mwanamke ana haki ya kupendwa na kuthaminiwa ..
Nawatakia sikukuu njema sana
NB; dedication song wanawake na maendeleo by Vicky kamata
FL1
Yes FL1,
you gave good comments on this special day for you all.
On behalf of my one I wish all the best to all women in the world for making the day being a peace day all over the world.
God loves all those keeping the world a best place to live.
Thank you very much and keep on. I wish you to be a good mother and as an example of good mother around your place.Thanx JK be blessed too