Robby junior
Senior Member
- Nov 9, 2014
- 106
- 7
Kakakuona naunga mkono hoja yako over
either ni kiburi na kujifanya kutosikia kwamaana ya kuingilia uhuru wake wa mawasiliano au kuna kitu kinaendelea ambacho si kizuri kati yao na ndio maana hataki kuisave hyo namba.......
cha msingi mueleze usivyopendezwa na hilo jambo na utoe msimamo wako kama mwanaume..na umuulize hyo no ni ya nani pia hata ww unaweza cheki hyo no imesajiliwa kwa jina gani pia
Kwanini unasema uwoga ni sawa na umaskini?
Kwa hiyo maisha kwako is all about pesa?? Hakuna nyanja zingine zinazokugusa??
aiseee basi mwambie amfuate huyo jamaaa
Tafuta pesa wacha kuwaza ujinga, nchi maskini hii.
We utakua huna pesa. Mwanamke yeyote ambao ana mme mwenye pesa hawezi kufanya kiburi. Nahuyu jama atakua anakuzidi pesa. Kwa hivyo tafta chapa
miss chaga mambo niaje
Tafuta pesa wacha kuwaza ujinga, nchi maskini hii.
Kwanini unasema uwoga ni sawa na umaskini?
Acha kabisa kuchunguza mambo ambayo majibu yake hutakuwa na uwezo wa ku-handle... UKAISHIA KUMWACHIA MUNGU... Bora umwachie mapemaaHivi wanajamvi ukimkataza mkeo usiwasiliane na mtu ambaye una mashaka naye naye akaendelea tena namba yake hiyo hajaiandikia jina ina manisha namba hiyo haiko kwenye phonebook yake anamanisha nini? Na achukuliwe hatua gani na je nifanyeje ili niweze pata mawasiliano yao vizuri.
aiseee basi mwambie amfuate huyo jamaaa
Nadhani Enzi za kupigania mapenzi hazipo tena, tuna vitu vya muhimu vya kufanya
Pesa ni jibu la yote??? Tena UMENUKUU. Nasubiria kwa hamu hiyo aya
Nina wasi wasi na biblia unayosoma wewe.
hUYO BWANA NAMFAHAMU NI MTUMISHI MWENZIE NA KWA KUWA NILISHAMKATAZA AKAJIDAI MJANJA AKAIVUTA ILI NIDHANI HAKUNA MAWASILIANO TENA KUMBE WANAENDELEA KUWASILIANA NA MIMI NILIWSTUKIA TU KUTOKANA MAMBO YA HUYU MWANAUME ILA MKE AKAKATAA KATUKATU HAWANA MAHUSIANI NA BASI NIKAMWAMBIA SITAKI UWASILIANE NAYE TENA NDO JANA NIMEIKUTA TENA HIYO NSMBA BILA YEYE KUJUA WAKIWA WAMETUMIANA MSG MOJA IKISHIA HAYA MWAYA
Acha kabisa kuchunguza mambo ambayo majibu yake hutakuwa na uwezo wa ku-handle... UKAISHIA KUMWACHIA MUNGU... Bora umwachie mapemaa