wakulichomeka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 517
- 142
Inaonekana humlizishi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nadhani Enzi za kupigania mapenzi hazipo tena, tuna vitu vya muhimu vya kufanya
Tafuta pesa wacha kuwaza ujinga, nchi maskini hii.
Nadhani Enzi za kupigania mapenzi hazipo tena, tuna vitu vya muhimu vya kufanya
na kweli amwache tu afanywe na asimpe tena dudu
Achana nae isiwe shida kabisa
100% nakubaliana na wewe..!Sijakataa ila siwezi kupoteza muda na akili yangu kumcontrol binadamu mwenye akili zake.
Vigezo na masharti kuzingatiwa na Elli amenisaidia kujibu hapo juu.
nakushauri ndugu fanya yako achana na huo ujinga wa kufatilia simu za mkeo mwanamke akiamua kitu huwezi kumzuia....we dili na mambo ya kutafuta kipato kuendeleza familia na hakikisha unatoa dozi ya kutosha kama kila kitu unampa basi kilichobaki ni kumpa dozi stahiki atatulia na namba ataisahau ila kama hilo namba ni ya jamaa na ana mahusiano nae basi ujue jamaa anatoa dozi stahiki mpaka namba mkeo hawezi sahau inawezekana hata yako haijui hadi acheki 4nebook....dozi ndio kila kitu pesaa baadae
Pesa ni jibu la yote, nimenukuu kutoka kwenye biblia nikitulia nitakupa aya.
Mpwa Elli kama ni kimada ni rahisi sana kupiga chini hata kama moyo umegandia pale..
Ila kama ni mke aiseee ni shida.. Huwezi kusema kirahisi tu unamuacha mkeo kwa kuwa anawasiliana na mwanaume mwingine.. Maana huwezi kueleweka ati uje na uamuzi umemuacha mkeo kisa ana namba ya mwanaume kwenye simu..! Maana utapewa ushauri kufuata utaratibu wa abcd ambao ni kama urasimu.. Linapokuja suala hilo la wife kuna sacrifices ambazo zinageuka kuwa ni challenges ndani ya ndoa.. Na kama tayari mna familia ndo shida kabisa..
Jamaa itamsumbua sana hii..
mambo ya ndoa ambayo yako clear ukiomba ushauri humu lazima tuiteketeze tu ndoa yenyewe hiyoi think he got your point.
Kwa mkeo? U must be insane bro