Leo ni mwisho kabisa nimechoka

Leo ni mwisho kabisa nimechoka

kuna watu humu wanashangaza kwelikweli au sijui ni ushamba wangu hivi unaweza ishi a mke au mume bILAKUMWAZIA SIJUIlabda waniambie wanafanyaje
 
Kiongozi, hata wewe si una pa kupooza koo baada ya kuisaka hiyo pesa? Tunawaza na kuisaka pesa lakini pia love ina nafasi yake ujue...!
If you stop chasing women and start chasing money… then women will chase YOU.
 
We mpuuze tu, alafu punguza wivu, labda mawasiliano yao ya kawaida, pia tafuta na wewe wa kuwasiliana naye aone inavyoumiza
 
ndo anazungumzia pesa ndo kila kitu au

ndo ulipoona pesa ndo kila kitu katiks maishs au umejifunza nini au tafsiri inakusumbua

Mhubiri 10:19
Karamu hufanywa kwaajili ya kicheko;
Na divai huyafurahisha maisha;
Na fedha huleta jawabu la mambo yote

Andiko limeandikwa hivyo mkuu.....shida yangu nlitaka kuhakikisha kama lipo kwenye biblia hilo neno kwa habari ya tafsiri hilo ni jambo lingine
 
Mhubiri 10:19
Karamu hufanywa kwaajili ya kicheko;
Na divai huyafurahisha maisha;
Na fedha huleta jawabu la mambo yote

Andiko limeandikwa hivyo mkuu.....shida yangu nlitaka kuhakikisha kama lipo kwenye biblia hilo neno kwa habari ya tafsiri hilo ni jambo lingine

Ubarikiwe mtumishi.
 
uyo mshkaji anakupigia,,,ila sio mbaya ndo kusaidiana majukum,,,mwambie amwambie jamaa siku 1-1 awe anatuma matumiz ya apo nyumbani
 
nakushauri ndugu fanya yako achana na huo ujinga wa kufatilia simu za mkeo mwanamke akiamua kitu huwezi kumzuia....we dili na mambo ya kutafuta kipato kuendeleza familia na hakikisha unatoa dozi ya kutosha kama kila kitu unampa basi kilichobaki ni kumpa dozi stahiki atatulia na namba ataisahau ila kama hilo namba ni ya jamaa na ana mahusiano nae basi ujue jamaa anatoa dozi stahiki mpaka namba mkeo hawezi sahau inawezekana hata yako haijui hadi acheki 4nebook....dozi ndio kila kitu pesaa baadae

we mdanganye tuu,,,, hao hata usimamie kaka bure tuu....cha msingi kwanza akome kuchokonoa simu ya mwenzake, pili aamue kama anahitaji kuwa nae au laaaa........maisha lazima yasonge
 
Back
Top Bottom