Wanaume wengine ka tumerogwa vile!!! Nani ana nafasi tena ya kuchunguza sm ya mwanamke?? Weye unachunguzwa na nani? Unaacha mambo ya adili unadili na mambo ya hovyooo.
Mpe mkeo iliyo haki yake, mwulize kama ametosheka. Mwulize kama staili hiyo mnayoitumia inamridhisha au vipi. Sio kiila siku ni askof na sista tuuu. Zipo nyingi saana tu, nenda darasani utafunzwa huko ili umridhishe. Hata kama kuna kaserenget kana mmaind atakadharau kwani kashiba. Migonjwa isiyo na tiba imejaa kibao aende akajirahisishe nje wakati ndani anashibishwa??? Lakini ka weye ni wale wajao wameshika mitalimbo mkononi haraka haraka tayeri keshalipua na unatoka kwenda kimbilia phone log, nani kapiga leo nani katuma msg. Saa ngapi utajua ka mwenzio hajashiba??
Mke ni kumtimizia haki yake sio kumsachi sm yake, sachi mwili wake banaa, Je, katoshekaaaaa