Leo ni mwisho kabisa nimechoka

Leo ni mwisho kabisa nimechoka

Hivi hebu ngoja niulize hapa,Dunia hii tuliyonayo kuna mwanamke ambae anagongwa na mume wake tu bila kuchepuka!? Km Wapo labda vijijini! Hapa dar hata wa kwangu nilishaacha kuhangaika nae kwa kuamini anapigwa! Kuna mtu aliniambia haya maneno nikambishia,akaniambia anza kuwatongoza wale unaoamini wametulia utapata jibu. Biashara yangu ina wateja wengi wa kike,nimejaribu zaidi ya wanawake 13. Kwa siku 5 tu hakuna hata 1 mmoja aliyekataa! Jamani mambo yamebadilika sana,heri kuelekeza akili ktk kutafuta pesa kuliko kutafuta aibu ya kufumania.
Aisee..kuna makala zingine ukisoma lazma moyo uende mbio..!
 
Huyo ni mme mwenzio...concluded!!!!
unakesi sana na mkeo na inaonekana mkeo ndo msemaji mkuu, ndo anakuweka mjini nini? au alikulisha ile nyama inayowekwa huku hivi!!!make mwanaume kulia lia et mke kafanya hivi mke kafanya vile ni uzombi huu
 
wacha wahuni wale kama hautachukua maauzi magumu... hawa wanawake wa kisasa wananuksi na laana... ugomvi kidogo tu basi atatafuta jins ya kukukomesha kama vile we ni adui wa wake
 
Pole Sana,upo katika mtanziko hasa,mkuu Ni ngumu Sana kumchunga mwanamke na Kama mapenzi hayapo kwako kamwe usilazimishe...
 
We utakua huna pesa. Mwanamke yeyote ambao ana mme mwenye pesa hawezi kufanya kiburi. Nahuyu jama atakua anakuzidi pesa. Kwa hivyo tafta chapa
 
Hawa viumbe ni wa ajabu sana,unaweza ukakuta anataka kukurusha roho tuu. Wanawake wanajijua wenyewe! Yaani wanaume tunawaza kuelekea kaskazini wao kusini,halaf tunatakiwa tuishi pamoja! Kazi kwelikweli. Pole mkuu.
 
pole sana mkuu hapo lazima kuna kitu kinaendelea chukua tahadhari
 
Muwekee ile app ya Mobile spy kama hana smartphone hakikisha kwanza unamsmartphonisha na wewe pia ujismartphonishe.
 
Fanya hivi. Muulize yule ni nani yake na ana uhusiano gani naye, halafu hapo hapo mwambie ampigie amuweke loudspeaker aongee naye hii itakufanya uupate ukweli kamili kwasababu by the time akiaema hallow yule jamaa anaweza akasema labda baby nimekumiss so hapo utampata na kwasababu atakuwa alikudanganya kuwa sio mtu wake then utakuwa ushamjua anakudanganya but ukumbuke hata kama ukiwaachanisha kuchat kwenye simu watakuwa wana njia nyingine za kuonana be careful asikuletee ugonjwa nyumbani. Na akishaongea naye kama ni mpenzi wake mwambie amwambie hapo hapo kwenye simu kuwa yuko na wewe na hamtaki mwingine
 
yani kwa ajili ninavyokuwa nawaza maisha, sidhani kama nina muda wa kufuatilia simu ya mupenzi, maana nahisi presha itakuwa mara mbili.
 
Back
Top Bottom