Hivi wanajamvi ukimkataza mkeo usiwasiliane na mtu ambaye una mashaka naye naye akaendelea tena namba yake hiyo hajaiandikia jina ina manisha namba hiyo haiko kwenye phonebook yake anamanisha nini? Na achukuliwe hatua gani na je nifanyeje ili niweze pata mawasiliano yao vizuri.

watoto wake wanalia tu sasamrudishe kwao kwa muda. she is ignorant
si uchukue hiyo namba uwasiliane nayo wewe kama una wasiwasi au weka trap yako. Coz kama ni mwanaume lazima atakuwa kicheche ukitumia mwanamke kumtrap ili kumjua chap utampata na kumuumbua tena unaenda na huyo mke wako wau demu wako siku ya kumuona jamaa
Soma alama za nyakati mzee na uangalie ustaarabu wako, jiulize kwann hataki kuacha kuwasiliana na huyo mtu, ana umuhimu gani kwake kiasi cha kuhatarisha uhusiano wenu, na wewe kwanini unaingilia uhuru wake wa mawasiliano na watu awatakao.... kuna kauli ya busara inayosema Usimfuatilie/ Usimchunguze mpenzi wako kwa makosa ambayo hata ukijua ukweli wa uhusika wake bado huwezi kumuacha.... unaitafuta stress , vidonda vya tumbo, pressure na sukari bila sababu...kapige kazi uingize pesa mapenzi huku kwetu bado sana.
kuna harufu ya kausaliti
mpelekee na watoto kama umemrudisha kwao. Mjengee mazingira ambayo itabidi akae na kufikiri kuwa anayoyafanya ni upumbavu na upuuzi. Mwache abebe majukumu kama vile wewe haupo aone kama kuna haja ya kuendelea na ukaidi wakewatoto wake wanalia tu sasa
Tafuta pesa wacha kuwaza ujinga, nchi maskini hii.
Mpige chiniiii wana wake ni wengi sanaaa
Daaah aisee, sometimes nawaza maisha bila kuoa ni mazuri sana.