Leo ni mwisho kabisa nimechoka

Leo ni mwisho kabisa nimechoka

Mwonyeshe kama unajua nyendo zake halafu mdharau usimfuatilie... akijua hivyo ataacha.
 
nimeongea na mke wako kama saa moja kasema siku hizi umepunguza spidi ya utendaji wako uwanjani hivyo anahisi una kisambuzi kingine hivyo anakutisha tu ili urudishe upendo kama zamani#onyo usimuache mke bila kua na ushahidi kamili
 
Back
Top Bottom