Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

Watanzania PINGA PINGA kila kona.........
Hii nyingine ni ulaku wa pilau tu, mnashindwa kuvumilia hata siku moja tu!
Ingekua ni mwezi wa kuanza mfungo sidhani kama wangelalamika kwa kusema,

"Mbona wenzetu wote wanaanza mfungo leo ila sisi tutaanza mfungo kesho?"
 
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!

Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!

Idd Mubaraka!

E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Bila mzungu ustaarabu ungeupata wapi ?!
Nini maana ya ustaarabu? tafsiri ya Ustaarabu ni pana sana,kila jamii ina ustaarabu wake na kila jamii inaona ustaarabu wake ni bora kuliko ustaarabu wa jamii zingine,

Mfano huyo mzungu unayeamini ndio kakufundisha ustaarabu yeye anachamba kwa tissue ila wewe unachamba kwa maji,kwanini usichambe kwa tissue paper kama huyo aliyekufundisha ustaarabu?

Huyo mzungu ana ustaarabu wa Mwanaume kuoa Mwanaume mwenzake au kuolewa na mwanaume mwenzake basi na wewe iga na huo ustaarabu wa mzungu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!

Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!

Idd Mubaraka!
Hamia Rwanda mkuu kama Saudia ni mbali
 
Nilichogundua wengi wanaolilia idd leo niwatumishi ambao walitarajia wikiend hii ianze leo(wikiend ndefu) nalait kama hizo nchi zilizofungua leo zingefungua j4 na Tz tukafungua J5 wala kusingekua na kelele ama hizo nchi zingefungua jumamosi yn ckuu kukuu ikawa jmos na j2 alafu Tz tukafungua j2 yn ckukuu ikawa j2 na j3 bas kusingekua na kelele au wao wangefungua j2 sisi tukafungua j3 basi hapo watu wangewasifu Bakwata..
Kwahiyo nilichogundua hapa ni ishu yakimaslahi binafsi zaidi nawala sio ishu yakiimani
 
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.

Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.

Idd Mubaraka.
Tupo ndani ya ndoo. Mwezi haujakaa usawa wa anga letu

Tulieni
 
Hivi kwa nini mwezi haukuonekana tz, nijuavyo ukitimiza siku 30 ni lazima uone mwezi
 
Back
Top Bottom