Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

Elimu ya kuandama kwa mwezi ni elimu kubwa sana,

mpaka leo duniani wanazuoni bado wanabishana kipi kipo sahihi, lakini Quran imesema hivi funga au fungueni swaum ramdhan kwa kuuona mwezi. Kama hawajauona basi Insha Allah wakiuona watafungua.

Hata nchi za Oman na Saudia Rabia, mwezi ukiandama Saudia watu wa Oman hawafungi wa hawafungui, na Oman pia hivyo hivyo.
Kwa mfano mwezi wa kuanza kwa mfungo,Mwezi ulionekana Saudi Arabia,Kuwait,Qatar,Bahrain ila Oman haukuonekana na hawakufunga,wakaanza kufunga siku ya pili ikiwa wapo nyuma kwa siku moja na wenzao,

Ndio Dini imeamrisha hivyo,fungeni kwa kuuona mwezi na fungueni kwa kuuona mwezi.
 
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan!

Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho!

Idd Mubaraka!
kwani mwezi umeuona? kama mmechoka kufunga semeni ili tuongee na muft alegeze masharti! kwa wanaofuata dini hata ungewaambia wafunge hadi wiki ijayo wasingeona shida, shida inakuja kwa wafuata mkumbo, wanaona taabu kwelikweli kufunga.
 
Back
Top Bottom